and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Ahsante kwa taarifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana yeye ni mwandishi wa habariKwani wewe mbona unafuatilia mambo haykuhusu 🤣🤣wewe ni mkristo hao mayahudi sio wakristo jitambue shobo mbaya sana.
kwani nilazima wawe wakristo ndio tuwaunge mkono mbona waislamu mnamuunga mkono Putin na sio muislamuKwani wewe mbona unafuatilia mambo haykuhusu [emoji1787][emoji1787]wewe ni mkristo hao mayahudi sio wakristo jitambue shobo mbaya sana.
Nasema hivi safari hii Mpaka Mnikome nitakuwa natoa taarifa za upuuzi wenu kila siku maana mmezoea sana kufanya upuuzi!!Acha shobo na picha yako hiyo ,mnatemewa mate huko ,huna kazi unalazimisha undugu .
Kwa umri wako tafuta kazi ya kufanya hizi mada zilishaisha kabisa.🤣🤣Mfia dini.
Anastahili maua yake: Ametujuza kilichojiri hapo eneo la mzishi na jinsi Mwamba alivyoweza "kuzamia mazishi" bila hofu ya kutokukaribishwa.Hapana yeye ni mwandishi wa habari
Uliambiwa wapi vita ina mlengo wa kidini ,nyie mnafirikia wapalestina ni waislamu 🤣🤣mnaogopa Israel anaweza kudundwa maana mnaamini ni taifa teule ....Wabongo kwa ushabiki hamjambo.kwani nilazima wawe wakristo ndio tuwaunge mkono mbona waislamu mnamuunga mkono Putin na sio muislamu
Hizi taarifa hazituhusu maana unajipa fundo kweny moyo wako mpaka unazeek kwa kuvaa vitenge ...Uko shamba hapo endelea kulima 🤣Nasema hivi safari hii Mpaka Mnikome nitakuwa natoa taarifa za upuuzi wenu kila siku maana mmezoea sana kufanya upuuzi!!
Hakuna maajabu watafanya. Na hata wakifanya hayaishi muda mrefu wataona maajab zaidi toka kwa wana wa JacobNakuombea uishi umri ili ushuhudie maajabu ya waislam kutoka Kwa mola
Ndege-vita za Israel zilivyokuwa zinawatia Jambajamba waliohudhuria mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah huko Beirut,LebanonKwani wewe mbona unafuatilia mambo haykuhusu 🤣🤣wewe ni mkristo hao mayahudi sio wakristo jitambue shobo mbaya sana.
Wamepitisha ndege kumpa heshima shujaaa wa lebanon mwamba wa mashariki.Adui katoa air show msibani safi sana amewapa kiki wa lebaneseNdege-vita za Jeshi la Israel leo hii zimekuwa zikitamba kwenye anga la Beirut wakati wa mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah aliyeuwawa na majeshi ya Israel Sept 27,2024 saa 12:21 jioni. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanja I hapo zikiwa kwenye speed na zikiwa kwenye “After-Burner” hivyo kusababisha mtafaruku mkubwa uwanjani hapo na ililazimu mtangazaji kuwatangazia watu watulie wasibabaike. Uwanjani hapo walikuwepo viongozi wakuu kutoka Yemen,Iran na nchi zingine zinazounga mkono Magaidi hao wa Hezbollah. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanjani hapo zikiwa kwenye Formation ya Arrowhead
nyie wagalatia wafuasi wa Mfalme Zumaridi mna tabu sana kuingilia mambo yasiyowahusu, unawaita magaidi kwani wamekuulia mkeo au dadaako, punguza kiherehere, hao mayahudi ndio magaidi wakubwa na ndio chanzo cha ugaidi dunianiNdege-vita za Jeshi la Israel leo hii zimekuwa zikitamba kwenye anga la Beirut wakati wa mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah aliyeuwawa na majeshi ya Israel Sept 27,2024 saa 12:21 jioni. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanja I hapo zikiwa kwenye speed na zikiwa kwenye “After-Burner” hivyo kusababisha mtafaruku mkubwa uwanjani hapo na ililazimu mtangazaji kuwatangazia watu watulie wasibabaike. Uwanjani hapo walikuwepo viongozi wakuu kutoka Yemen,Iran na nchi zingine zinazounga mkono Magaidi hao wa Hezbollah. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanjani hapo zikiwa kwenye Formation ya Arrowhead
That's how the popular resistance is, achilia mbali nchi mbali mbali zilizosherehekea huko zilipo mazishi haya, Palestine is the land our Prophet set foot when he was going to meet Our Lord you will never set us apart with Al Aqsa, it will never happenWengi wao watakuwa wamefika kama sehemu ya Utalii ili kujionea kwa macho kilichofanyika hapo Gaza kama matokeo ya kuwakumbatia HAMAS.
Hao unaowaita wewe magaidi walikuulia mkeo au doda yako? Waarabu ni chanzo cha ugaidi duniani!!nyie wagalatia wafuasi wa Mfalme Zumaridi mna tabu sana kuingilia mambo yasiyowahusu, unawaita magaidi kwani wamekuulia mkeo au dadaako, punguza kiherehere, hao mayahudi ndio magaidi wakubwa na ndio chanzo cha ugaidi duniani