Endelea kusifu na kuabuduHabari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Watakuwa wanajiona kwa nje.Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Unawaua bila sababu. Hao wanajichezea tu, ungewaacha. Hata kwangu huwa wanafanya hivyo. Kuna muda hata Kunguru huja na kufanya hivyo hususani asubuhi sana.Kama Kuna kibanda Chao juu ya nyumba yako watoe kama hakipo paka Sumu hapo kwenye kiooo na wao huwa wanacheza hapo eti wanajiangalia na kupiga hata huku kwangu kigamboni walikuwa ndo michezo Yao ila nilipo paka dawa sijawahi kuwaona tena
Tutachukua nyumba yako iwe moja ya vivutio hapo jirani na geti la mlima Kilimanjaro la Rongai.Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Wanajiona kwenye kioo. Hupigana wakidhani yule ni ndege mwenzake ameingia kwenye himaya yake. Pia kuna mida hufanya hivyo kwa lengo la kucheza na kufurahi mkuu.Hivi huwa wanagonga vioo kwanini? Mwanzoni nilidhani labda kuna vijidudu wanakula lakini nikaja kugundua hakuna la maana kinachowafanya wagonge gonge vioo
Duh! Yaani michezo yao iwe karaha kwa wengine? Kwanini wasijenge vioo vyao vya kuchezea? Serikali iingilie kati (utani😀)Wanajiona kwenye kioo. Hupigana wakidhani yule ni ndege mwenzake ameingia kwenye himaya yake. Pia kuna mida hufanya hivyo kwa lengo la kucheza na kufurahi mkuu.
Mkuuu tunapitia changamoto sawa.na wqnasumbua ile midaa yaa kuanzia saa moja asubuhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].nilisha kosa mbinu ya kuwadhibitii kabisaaaHabari za muda huu!