Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

Kwanza napenda kumshukuru mheshimiwa rais dr samia suluhu hassan kwa kunifikisha muda huu..pili cha kufanya paka chokaa kidogo kwenye vioo..itasaidia
 
Kwanza napenda kumshukuru mheshimiwa rais dr samia suluhu hassan kwa kunifikisha muda huu..pili cha kufanya paka chokaa kidogo kwenye vioo..itasaidia
Sawa mkuu nitafanya hivyo kwa maana hii ni kero kwa kweli. Nikiona hali ni mbaya nitabidi nimwombe mama samia anisaidie
 
Hawafurahii kucheza, ni kwamba wanadhani wenzao wapo upande wa pili. Hawajui kwamba wanajiona wenyewe..!!! Hivyo wanataka wafike walipo wenzao
Anhaaa okay! Mi mwanzo nilidhani wanaona maji 🤣

Baadae nikadhani wako katika michezo ya hapa na pale, nilivyojiridhisha hawawezi vunja kioo nikaachana nao.

Nyumba yao iko kwenye mti uliopo nyumba ya jirani tunaeshare nae ukuta wa fensi.
 
Ni kawaida sana, wanajiona wanapenda kucheza. Uzuri hawezi kupasua kioo
Kwangu kaja kunguru kajigonga sana hadi nikadhani atavunja kioo ila nadhan anavyojiona image yake kwenye kioo anadhan ni ndege mwenzake
 
Eneo ulilopo ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro "
SAWASAWA KABISA.
 
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.

Hata mimi nasmhukuru Rais Dr Samia kwa kutufungulia jua leo na kuniwezesha kupiga miayo nikiwa nje.

Kuhusu tatizo lako, tafuta ulimbo upake dirisha lako; ndege akigonga, atanasa. Ndege wengi ni wajanja, mmoja akinasa basi wengine wote hawatakaribia tena, wataambiana.
 
Back
Top Bottom