Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Hata mimi napitia hii changamoto nimeshindwa kupata suluhisho
 
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.

Acha dirisha ndani vitoweo waingie hao...

Sikukuu hizi huna haja ya kuchinja kuku...
 
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama.
Huu uchafu umeanzia kwa viongozi wetu na hasa wakijua saa mbili kamili wataruka hewani via news,
Muogopeni Mungu basi watwana, kama hamuelewi nendeni hata lango Moja la emergency kwenye hospital yoyote uone watu wanavokata moto, afu nyie mnakuja kumshukiru Samia eti kakuamsha salama!!!!

Nampenda Samia , ila siyo kwa kujisahaulisha hivi, hata kama ni kumkejeli basi tutafute namna nzuri ya kumkejeli,
 
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Palilia majani humo ndani mwako.Ndege wanataka wakate majani wakaunde viota vyao.
 
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Madirisha ni yale ambayo ukiwa ndani unaona nje na ukiwa nje hauoni ndani?
 
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Kwanza nianze kwa kumshukuru mama kwa kuniwezesha kuyatambua madirisha ya nyumba yako, nimeyaona ni yale unaweza kujiona japo ni tofauti na yale ya kujitazama. Ushauri wangu badilisha vioo au weka wavu laini ambao wakijibamiza hawataumia.
 
Mimi kwangu madirisha ya pande zote jikoni. Mwanzo nikawa namwaga mchele na mtama chini ya dirisha naacha na maji nje kwenye beseni haijasaidia. Nilidhani itawadistract wasifocus kwenye kioo.

Nadhani wanafurahia kucheza.
Hawafurahii kucheza, ni kwamba wanadhani wenzao wapo upande wa pili. Hawajui kwamba wanajiona wenyewe..!!! Hivyo wanataka wafike walipo wenzao
 
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Asante mama Samia kwa kukuwezesha kuwa na madirisha yenye vioo vya kisasa hadi ndege wanakuja kupaka poda kwako.
Yawezekana unatangaza kuwa na vioo vya kujitazama kwenye nyumba yako.
Hongera
 
Back
Top Bottom