Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

Kama Kuna kibanda Chao juu ya nyumba yako watoe kama hakipo paka Sumu hapo kwenye kiooo na wao huwa wanacheza hapo eti wanajiangalia na kupiga hata huku kwangu kigamboni walikuwa ndo michezo Yao ila nilipo paka dawa sijawahi kuwaona tena
Hata kwangu masaki nina changamoto hyo mkuu. Ni dawa gani nipake pia?
 
SISI KUNGURU SAA 11 ASBH NN NDEGE M NSHAWAZOEA
ISHI NAO TU
 
Fungua madirisha waingie ndani uwafanye kitoweo mkuu. Wewe hupendi nyama ya ndege?🤣😂🤣😂
 
Wait till wakifika kwenye side mirror kama wale wakubwa kidogo wenye mdomo mchongoko halafu awe dume basi anahakikisha kakivunja akidhani anapigana na dume mwenzie.
 
Kwani wanapopiga piga madirisha ukiwauliza huwa wanasemaje pengine wataka muonane ana kwa ana kuna kitu wanataka kukuambia
 
Waue
 
Hawaachi hao wakijiona kwenye vioo wanadhani ni ndege wengine kwa hiyo wanakuwa wanadonyoa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Duh! Yaani michezo yao iwe karaha kwa wengine? Kwanini wasijenge vioo vyao vya kuchezea? Serikali iingilie kati (utani😀)
Ni kero kwa sababu muda mwinginr unakuwa umelala wanakuamsha yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…