Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
VCG111394577635.jpg

Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
 
View attachment 2311699Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
Sisi ndio kwanza tupo kwenye kuomba msaada kwa ajili ujenzi wa matundu ya vyoo.
 
View attachment 2311699Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
MADE IN CHINA

Hata walete bure siipandi ng'oo

Bidhaa za china zinazokuja Africa huwa nina ''trust issues'' nazo
 
Kila baada ya miezi mitatu naiona habari ya namna hii katika miaka ya karibuni lakini Xi Jinping anaendelea kutumia Boeing na Airbus.
Mkuu, mbona wamejieleza vizuri tu kwamba ndege bado hipo kwenye majaribio - it takes time ndege za abiria kupewa kibali cha kubeba abiria ndani ya Uchina yenyewe pia na kibali cha kimataifa - nina hakika Uchina ikiomba kibali cha kimataifa watawekewa mikwara mingi sio kwamba ndege haikidhi vigezo vya usalama kwa abiria bali ni hujuma za Boeing na Airbus hawataki ushindani wa kibiashara, watazisema sema vibaya ndege za Wachina na Urusi - ndio walivyo, kwa bahati mbaya wapo baadhi ya waswahili wenye perception hasi kuhusu everything Chinese kama walivyo wenzetu wa magharibi!!
 
Back
Top Bottom