Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

Kitu cha kwanza Boeing na Airbus wao kazi yao ni kujenga/fabricate airframe/fuselage basi, vitu vingine kama engine zinaundwa na makampuni mengine kabisa
Ni sawa. Nahofia usikute hawa Wachina nao wanategemea 90% ya accessories toka West. Siku wakikorofishana kidogo West wanastopisha supply na C9 zinashindwa kuruka.

Hata Russia naona kapigwa kwenye zile Sukhoi zake sababu ya vikwazo
 
Daaah mchina ameingia kwenye soko la ndege sasa kila mtu atakua na ndege yake

Kama mabas ya kichina lazima ninunue yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
NDIO SINA IMANI NAZO KWA 100%
Kwahiyo hupandi mabasi ya China,hutumii simu za China?Hupiti kwenye madaraja ya wachina?Barabara? Toothpick?Kalamu?Viti hupandi treni za wachina?Hupandi pikipiki za wachina?Bajaji?
Ukiangalia mzunguko wa maisha,kila siku iendayo Kwa Mungu,utakuta lazima utumie bidhaa za China!
 
Wachina "wametukamata", hilo halina ubishi.

Yesu ni Kristo
 
Kwahiyo hupandi mabasi ya China,hutumii simu za China?Hupiti kwenye madaraja ya wachina?Barabara? Toothpick?Kalamu?Viti hupandi treni za wachina?Hupandi pikipiki za wachina?Bajaji?
Ukiangalia mzunguko wa maisha,kila siku iendayo Kwa Mungu,utakuta lazima utumie bidhaa za China!
relax, dont panic...sijasema situmii bidhaa zao kabisa kabisa
 
Wabongo tusipojiangalia na hawa wajasiriamali wetu itafikia bidhaa zetu ziwe kama za china badala ya kuwa kama za mjelemani.

Ni masikitiko kufikia uwezo wa juu wa uzalishaji halafu watu wadharau bidhaa zako kuwa sio bora. Yaani uunde li tekno kuuubwa pixel mia kidogo halafu watu wakubali kulinunua kwa elfu sabini wakati huohuo wakanunue iphone ya vipixeli vidoogo sh laki kadhaa. Inasikitisha.

Leo pikipiki za mchina vimilioni vya kitoto ila ya mjapani[tena hata iliyotengenezewa uchina] inauzwa mamilioni. Ni mwendo wa kudharaulika tu..... ongezea na upige biti halafu watu hata wasijali aaaah! bora sijui nini tu
 
Hii ndege itapata taabu sana kuuzwa soko la Africa
 
Sisi ndio kwanza tupo kwenye kuomba msaada kwa ajili ujenzi wa matundu ya vyoo.
Alafu wakitukta manyani tunakasirika🤣🤣🤣🤣 yaani kweli nchiniliyobarikiwa rasili mali zote hizi inaomba msaada wa kuchimba vyoo...so sad.
 
Back
Top Bottom