Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

Sisi ndio kwanza tupo kwenye kuomba msaada kwa ajili ujenzi wa matundu ya vyoo.
 
MADE IN CHINA

Hata walete bure siipandi ng'oo

Bidhaa za china zinazokuja Africa huwa nina ''trust issues'' nazo
 
Kila baada ya miezi mitatu naiona habari ya namna hii katika miaka ya karibuni lakini Xi Jinping anaendelea kutumia Boeing na Airbus.
Mkuu, mbona wamejieleza vizuri tu kwamba ndege bado hipo kwenye majaribio - it takes time ndege za abiria kupewa kibali cha kubeba abiria ndani ya Uchina yenyewe pia na kibali cha kimataifa - nina hakika Uchina ikiomba kibali cha kimataifa watawekewa mikwara mingi sio kwamba ndege haikidhi vigezo vya usalama kwa abiria bali ni hujuma za Boeing na Airbus hawataki ushindani wa kibiashara, watazisema sema vibaya ndege za Wachina na Urusi - ndio walivyo, kwa bahati mbaya wapo baadhi ya waswahili wenye perception hasi kuhusu everything Chinese kama walivyo wenzetu wa magharibi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…