Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

Hili lilisemwa na Mmarekani aliyefanya kazi kiwandani humo wakamuua
Boeing ingekuwa ni kampuni ya nje ya Marekani sasa hivi ingekuwa tayari imeshapoteana vibaya sana kwenye soko la dunia kwa sababu ya kuwa na reputation mbaya.

Marekani wanailinda sana ila madege yenyewe yanawakataa mamaé

Sasa hivi Airbus haina mpinzani kwenye sky
​
 
Ndege ya Shirika la Ndege la India (Air India) iliyokuwa ikielekea London imeanguka muda mfupi baada ya kupaa katika mji wa Ahmedabad, Magharibi mwa India.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini humo, ndege hiyo ilikuwa na abiria 232 na wahudumu 12.

chanzo:swahilitimes
 
Si walisema ndege za Tanzania wamezifungia kwenye anga ya umoja wa Ulaya,mbona ndege zao kumbe ndio.mbovi,zinaanguka ovyo.Mungu awaweke kunakostahili waliofariki na majeruhi wapone upesi.
 
India ina maadui wengi,Pakistan being one of them.
Lakini apart from technical failure,wahindi ni watu wa visasi awe India,Bangladesh, Pakistan,Sirilanka origns plus millions of Immigrants.
Hapa tumeongea mzaha tu lakini hii ajali haihusiani na maadui wa India.

Boeing wanatakiwa kurudisha ndege zao wakazifanyie marekebisho
 
Ndege imeanguka Indis,mda mfupi baada ya kuoaa,ikiwa na abiria zaidi ya 240,na ni ndege zao,kumbe wao ndio wana ndege mabovu.
 
Hapa tumeongea mzaha tu lakini hii ajali haihusiani na maadui wa India.

Boeing wanatakiwa kurudisha ndege zao wakazifanyie marekebisho
Are you serious?Of cause probable cause wataangalia,lakini kuna vita nyingi economic war,China anataka nae ale meza kuu huku akituachia Dar mwendokazi mascrap ya mabasi chakavu ni zaidi ya idadi ya yalio mazima.
Dream liner ni biashara nyingine,hata mfaransa na Airbus 380 A zake amechemka.
However America is in chaos with these stupid riff-raff Don The Mafia na matakataka wenzio.Security of planes might be compromised.
Au panda Torplove za Kirusi u update wosia kila ukipanda ndege zao.
 
Huyo Mungu alikuwa wapi asizuie ajali hiyo kutokea?
Mungu amesema Jiwezeshe na mimi nitakuwezesha,ndege haikufanyiwa service,unasubiri Mungu akusaidie.Ndege ni mbovu na wewe unapanda kabisa ni ,unapanda.Hapa juzi hao wazungu,walipiga marufuku ndege za Tanzania,zisipite kwenye anga zao,kumbe ndege zao ndio mbovu.
 
Hao wanaitwa Plane spotters
Kila mahali wapo
Ukija hata Heathrow Airport kwa nje wamejipanga na camera zao kusubiri ajali kila siku
Hawa ndio wachawi sasa
Kila leo wapo huwa nawashangaa yaani wanakaa siku nzima
Ikitokea ajari kama hiyo na ukawa ushahidi wa video na picha watu wa Air crush investigation wanakulipa kibunda kikubwa sana hao wanaitwa eyewitness
 
RIP kwa wale wote walofariki.

Hiyo ndege (boeing 787 -8 Dreamliner) imeruka zaidi ya miaka 10 hivyo kuna tatizo ama la kiufundi (external) au ndani ya ndege ( hujuma na ugaidi)

Ndege imeanguka futi 625 baada kushindwa kuruka kuelekea angani (futi 30,000) ili ianze kufanya cruising na abiria watoe mikanda.

Kwa mujibu wa Air India kapteni ni mzoefu wa safari ndefu (long haul) na amesafiri zaidi ya mara 8200 angani.

Katika hatua hii hakuna jiwe litaoachwa bila kugeuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…