Ndege ya Alaska imetua kwa dharura baada ya abiria mmoja kutisha kuua kila mtu wasipokubali Yesu alikuwa mtu mweusi

Ndege ya Alaska imetua kwa dharura baada ya abiria mmoja kutisha kuua kila mtu wasipokubali Yesu alikuwa mtu mweusi

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka wanajamvi

Mimi ni kati ya watu nayempenda Yesu kupita maelezo na huniambii kitu. Ila dah kumfananisha Yesu na wamatumbi hiii nakataa aisee.
30711392-8517857-Passengers_largely_ignore_the_suspect_seen_standing-a-1_1594672148718.jpg

Dunia kweli haishi vituko. Leo ndege ya Alaska airlines imelazimaka kutua jwa dharura baada ya abiria kutishia kuua abiria wengine wote wasipokiri na kukubali Yesu alikuwa mtu mweusI la sivyo wote watakufa kwa jina Yesu.
30720064-8517857-image-a-8_1594672356863.jpg

An Alaska Airlines flight was forced to make an emergency landing in Seattle, Washington on Saturday after a passenger threatened to kill everyone on board.

Video footage from the incident shows the man – wearing a face mask - moving through the cabin of Flight 422 bound for Chicago O' Hare yelling: 'I will kill everybody on this plane unless you accept Jesus was a black man.'

As he moves past alarmed passengers in their seats he is heard shouting 'accept it' and 'die in the name of Jesus' multiple times.

According to Alaska Airlines the flight took off around 11.15pm from Seattle-Tacoma airport and incident kicked off 20 minutes in.

Bofya iyo linki: Emergency landing after flight passenger threatens to kill everyone
 
Huyo kapagawa tu akili..😂😂
Watadili nae si anafikiri maembe ni mayai..😅
 
Angekuwa muislam, habari ingesomeka kivingine!

Dunia haina usawa kabisaa.

Mkuu unataka usawa upi wakati upande ule ni dhahiri unatumika kiitikadi za kigaidi..?

Zile video za chinjachinja unafikiri inastahiri vile..?

Hayo makundi yanayoshika mitutu huku ikitamka yale maneno maarufu unazani nani asiwaogope..?

Ni kweli haina usawa ndio maana hao wengine wanawachinja wenzao kwa kuwaona kama sadaka!!.

Inaweza kuwa sio nyie ni propaganda za kuuchafua uislam lkn kwa mambo yalivyo mwe! Lzm muogopwe ndugu..

Vumilieni hata mi nashuku kabisa hayo makundi yanatumika kuwachafueni coz naiona rangi yenu ninaoshinao huku ni tofauti na hao wa itikadi Kali..!!
 
Umeanza vibaya ila umemaliza vyema Uwe naamani yakuishi MKUU na Muumba Akupe Afya Umri Mrefu Namafanikio Kedekede.....
 
Vumilieni hata mi nashuku kabisa hayo makundi yanatumika kuwachafueni coz naiona rangi yenu ninaoshinao huku ni tofauti na hao wa itikadi Kali..!!Umeanza vibaya ila umemaliza vyema Uwe naamani yakuishi MKUU na Muumba Akupe Afya Umri Mrefu Namafanikio Kedekede.....
😅
 
Back
Top Bottom