Ndege ya Alaska imetua kwa dharura baada ya abiria mmoja kutisha kuua kila mtu wasipokubali Yesu alikuwa mtu mweusi

Ndege ya Alaska imetua kwa dharura baada ya abiria mmoja kutisha kuua kila mtu wasipokubali Yesu alikuwa mtu mweusi

.... na angelipua kweli maana hawana mizaha wale majini yakishawapanda! Huyu chizi hakuwa hata na wembe ndio maana habari wala haija-trend sana chizi tu yule; wale wengine wanakuwa wamejizatiti vilivyo.
Kwanini basi hawakuendelea na safari kwa vile jamaa hakuwa hata na wembe!?
 
Kwanini basi hawakuendelea na safari kwa vile jamaa hakuwa hata na wembe!?
... kanuni za usafiri wa anga ziko wazi; abiria akifariki angani tayari ni emergency landing; mlevi akiongeaongea ovyo ni emergency landing kwani hayo yanahatarishaje usalama? Ni suala la kanuni tu.
 
Another version of black lives matter
Mzuka wanajamvi

Mimi ni kati ya watu nayempenda Yesu kupita maelezo na huniambii kitu. Ila dah kumfananisha Yesu na wamatumbi hiii nakataa aisee.
View attachment 1505988
Dunia kweli haishi vituko. Leo ndege ya Alaska airlines imelazimaka kutua jwa dharura baada ya abiria kutishia kuua abiria wengine wote wasipokiri na kukubali Yesu alikuwa mtu mweusI la sivyo wote watakufa kwa jina Yesu.View attachment 1505989

An Alaska Airlines flight was forced to make an emergency landing in Seattle, Washington on Saturday after a passenger threatened to kill everyone on board.

Video footage from the incident shows the man – wearing a face mask - moving through the cabin of Flight 422 bound for Chicago O' Hare yelling: 'I will kill everybody on this plane unless you accept Jesus was a black man.'

As he moves past alarmed passengers in their seats he is heard shouting 'accept it' and 'die in the name of Jesus' multiple times.

According to Alaska Airlines the flight took off around 11.15pm from Seattle-Tacoma airport and incident kicked off 20 minutes in.

Bofya iyo linki: Emergency landing after flight passenger threatens to kill everyone
 
Yesu alikuwa mweusi na ushahidi wa Kibiblia upo.
Kasome Ufunuo wa Yohana 1:13-15
Hakuna kitu kama hicho kwenye Biblia, labda ni kitabu kingine au wakati unaandika ulikuwa umelewa.
 
Watu wa mashariki ya kati ya wakati huo waliokuwa weusi walikuwa ni Wakushi tu jamii yao akina Zipporah aliyekuwa mke wa Musa.

Waliobaki walikuwa ni weupe na Yesu hakuwa na ukoo na Wakushi. Hayo madai ya kuwa Yesu alikuwa mweusi ni porojo tu za wavuta bangi.
 
If he was black or any race,it doesn't matter kabisa.

Cha msingi kufuata mafundisho yake tu.
 
Back
Top Bottom