Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Naam umeusema ukweli mchungu hatakama umekuumiza.....[emoji28]
UISLAM ndio dini ya amani zaidi ULIMWENGUNI.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam umeusema ukweli mchungu hatakama umekuumiza.....[emoji28]
zingatia rangi ya nywele na miguu,Hilo fungu wewe umelielewaje mbona hakuna sehemu yoyote iliyo taja rangi nyeusi mkuu?
Shaba ikisuguliwa inakua nyeusiHilo fungu wewe umelielewaje mbona hakuna sehemu yoyote iliyo taja rangi nyeusi mkuu?
"Gaidi atishia kulipua ndege"Angekuwa muislam, habari ingesomeka kivingine!
Dunia haina usawa kabisaa.
Na asokuwa gaidi ataendelea kuwamiminia watu risasi misikitini na kutishia kuuwa watu wote kwenye ndege."Gaidi atishia kulipua ndege"
Rangi ya shaba ni rangi ya kahawia inayong'aa. Tafuta kufuli la shaba ili uione, ni rangi Kama ya ngozi zetu tuziitazo maji ya kunde. Je kuna mzungu maji ya kunde?Hilo fungu wewe umelielewaje mbona hakuna sehemu yoyote iliyo taja rangi nyeusi mkuu?
Dunia hii aseee....."Gaidi atishia kulipua ndege"
vipi mbona umepanic??Na asokuwa gaidi ataendelea kuwamiminia watu risasi misikitini na kutishia kuuwa watu wote kwenye ndege.
Ushabiki unawasumbua mpaka mnashindwa kuzitumia akili zenu sawasawa.
What tha fakNaam umeusema ukweli mchungu hatakama umekuumiza.....
UISLAM ndio dini ya amani zaidi ULIMWENGUNI.....
Ramba ndimuWhat tha fak
Hamjaelewana [emoji23][emoji23][emoji23]vipi mbona umepanic??
Mimi nimetoa mfano jinsi ingeripotiwa endapo muhusika angekua ni Muislam.
.... na angelipua kweli maana hawana mizaha wale majini yakishawapanda! Huyu chizi hakuwa hata na wembe ndio maana habari wala haija-trend sana chizi tu yule; wale wengine wanakuwa wamejizatiti vilivyo.Angekuwa muislam, habari ingesomeka kivingine!
Dunia haina usawa kabisaa.
Mkuu soma vizuri verse ya 14 utagundua kichwa na nywele zake ni nyeupe tena kama sufi.Rangi ya shaba ni rangi ya kahawia inayong'aa. Tafuta kufuli la shaba ili uione, ni rangi Kama ya ngozi zetu tuziitazo maji ya kunde. Je kuna mzungu maji ya kunde?
... chizi tu yule; gaidi gani hata kipande cha sindano hajabeba!Huyo kapagawa tu akili..😂😂
Watadili nae si anafikiri maembe ni mayai..😅
... Mungu akijua uzushi kama huu ungekuja kuibuka duniani; hakuna yeyote chini ya Jua ambaye family tree yake is so narrated like that of Jesus! Inashangaza leo pumbavu mmoja kuhoji rangi ya Yesu. Mama yake awe mweupe halafu yeye awe mweusi inawezekana vipi hiyo?Aisee sijamsoma huyo mchizi.
Sijui nia yake ni kumdharau Yesu au kumtukuza Yesu.
Au labda nilale nikiamka asubuhi naweza kumwelewa kidogo.
Usiku mwema.
Mkuu soma vizuri verse ya 14 utagundua kichwa na nywele zake ni nyeupe tena kama sufi.
Lakini pia verse ya 15 inaongelea rangi ya miguu yake kuwa ni kama shaba iliyochomwa kwenye tanuru. Shaba iliyochomwa (fine brass) rangi yake ni nyeupe na si redish brown (kahawia). Pitia english version utaelewa vema.
Revelation 1:13-15
[13]And in the midst of the seven candlesticks one like unto the Son of man, clothed with a garment down to the foot, and girt about the paps with a golden girdle.
[14]His head and his hairs were white like wool, as white as snow; and his eyes were as a flame of fire;
[15]And his feet like unto fine brass, as if they burned in a furnace; and his voice as the sound of many waters.
Mkuu nikifungua hiyo link yako inanileta hapa [emoji116] ambapo panakazia vizuri point yangu