Ndege ya Alaska imetua kwa dharura baada ya abiria mmoja kutisha kuua kila mtu wasipokubali Yesu alikuwa mtu mweusi

Yesu alikuwa mbongo,yaani mtanzania tu kama sisi
Kwa hiyo mwamba yuko sahihi
 
Na asokuwa gaidi ataendelea kuwamiminia watu risasi misikitini na kutishia kuuwa watu wote kwenye ndege.

Ushabiki unawasumbua mpaka mnashindwa kuzitumia akili zenu sawasawa.
vipi mbona umepanic??

Mimi nimetoa mfano jinsi ambavyo ingeripotiwa endapo muhusika angekua ni Muislam.
 
Angekuwa muislam, habari ingesomeka kivingine!

Dunia haina usawa kabisaa.
.... na angelipua kweli maana hawana mizaha wale majini yakishawapanda! Huyu chizi hakuwa hata na wembe ndio maana habari wala haija-trend sana chizi tu yule; wale wengine wanakuwa wamejizatiti vilivyo.
 
Rangi ya shaba ni rangi ya kahawia inayong'aa. Tafuta kufuli la shaba ili uione, ni rangi Kama ya ngozi zetu tuziitazo maji ya kunde. Je kuna mzungu maji ya kunde?
Mkuu soma vizuri verse ya 14 utagundua kichwa na nywele zake ni nyeupe tena kama sufi.

Lakini pia verse ya 15 inaongelea rangi ya miguu yake kuwa ni kama shaba iliyochomwa kwenye tanuru. Shaba iliyochomwa (fine brass) rangi yake ni nyeupe na si redish brown (kahawia). Pitia english version utaelewa vema.

Revelation 1:13-15

[13]And in the midst of the seven candlesticks one like unto the Son of man, clothed with a garment down to the foot, and girt about the paps with a golden girdle.

[14]His head and his hairs were white like wool, as white as snow; and his eyes were as a flame of fire;

[15]And his feet like unto fine brass, as if they burned in a furnace; and his voice as the sound of many waters.
 
Huyo kapagawa tu akili..😂😂
Watadili nae si anafikiri maembe ni mayai..😅
... chizi tu yule; gaidi gani hata kipande cha sindano hajabeba!
 
Aisee sijamsoma huyo mchizi.
Sijui nia yake ni kumdharau Yesu au kumtukuza Yesu.
Au labda nilale nikiamka asubuhi naweza kumwelewa kidogo.
Usiku mwema.
... Mungu akijua uzushi kama huu ungekuja kuibuka duniani; hakuna yeyote chini ya Jua ambaye family tree yake is so narrated like that of Jesus! Inashangaza leo pumbavu mmoja kuhoji rangi ya Yesu. Mama yake awe mweupe halafu yeye awe mweusi inawezekana vipi hiyo?
 
fine brass color - بحث Google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…