Ndege ya Alaska imetua kwa dharura baada ya abiria mmoja kutisha kuua kila mtu wasipokubali Yesu alikuwa mtu mweusi

.... na angelipua kweli maana hawana mizaha wale majini yakishawapanda! Huyu chizi hakuwa hata na wembe ndio maana habari wala haija-trend sana chizi tu yule; wale wengine wanakuwa wamejizatiti vilivyo.
Kwanini basi hawakuendelea na safari kwa vile jamaa hakuwa hata na wembe!?
 
Kwanini basi hawakuendelea na safari kwa vile jamaa hakuwa hata na wembe!?
... kanuni za usafiri wa anga ziko wazi; abiria akifariki angani tayari ni emergency landing; mlevi akiongeaongea ovyo ni emergency landing kwani hayo yanahatarishaje usalama? Ni suala la kanuni tu.
 
Another version of black lives matter
 
Yesu alikuwa mweusi na ushahidi wa Kibiblia upo.
Kasome Ufunuo wa Yohana 1:13-15
Hakuna kitu kama hicho kwenye Biblia, labda ni kitabu kingine au wakati unaandika ulikuwa umelewa.
 
Watu wa mashariki ya kati ya wakati huo waliokuwa weusi walikuwa ni Wakushi tu jamii yao akina Zipporah aliyekuwa mke wa Musa.

Waliobaki walikuwa ni weupe na Yesu hakuwa na ukoo na Wakushi. Hayo madai ya kuwa Yesu alikuwa mweusi ni porojo tu za wavuta bangi.
 
If he was black or any race,it doesn't matter kabisa.

Cha msingi kufuata mafundisho yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…