Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

Cha ajabu watakushambulia ati unawaharibia biashara
 
Wakuwatumbua alishatangulia mbele za haki
 
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
CAG hakupita huo mtaa!? Nadhani amejifunza jambo, matumizi yanaonyesha tyre zinanunuliwa kwenye vitabu kwenye uhalisia vipara
 
Lipa Kodi tununue Tairi mpya
 
Hili ni bomb [emoji378] linalosubiri kulipuka
Asante kwa taarifa
Nashukuru Mungu juzi wageni walifika salama
Sasa ni mwendo wa Bus tu
 
Nilikatiwa na kampuni kiongozi. Na ilikuwa round trip ya MbyDarMwz na kurudi MwzDarMby. Nakumbuka kwenye tiketi kulikuwa na bei ila siikumbuki tena. Hata nikikuchekia hutapata reflection ya one trip.
Unapata, si zinakuwa Identified mkuu?
Au wewe una ticket za aina gani!!
 
Hilo tairi halina madhara licha ya nyuzi kuchungulia.
Halina upepo ni mpira tu mwanzo mwisho lipasuke vipi?
Halafu hawa watalii wamerudi?🤔
Unaongea kitu ambacho hukijui. Matairi yote yandege lazima yawe ya kujazwa upepo
 
sawa but sikudhan kama ulipaswa kuwa na hofu
 
Hatari sana.. ukiangalia kipindi cha air crash investigation NGE tairi zimesababisha ajali nyingi haswa ipasuke wakati wa kuruka halafu landing gear ikirudi ndani inaleta moto kwenye engine.. au hata wakati wa kutua ikipasuka ni shida
 
Kwan atcl Kuna ndege ya rangi iyo kwel apa tz ,au mm ndio c elewi,
 
Ungecheki na injini pia!
Pengine oili ni chafu, mambo kibao!
 
Nimependa hiyo ya kila mtu ni 'watchdog'. Na ndio maana kwenye sheria za usafiri wa anga. Wakati wa kupaa na kutua ndege, ni lazima madirisha yote yawe wazi. Wanasema moja ya sababu ni ili mtu aweze kuona hitilafu yoyote ionekanayo kwa macho, kama vile moto, cheche, moshi, nk. Au tairi kipara......hahahahaaaaa!!! Jamani tusiwe tunanyamazia hivi vitu.
 
Tairi kama hilo ni la kutengenezea Katambuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…