establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Tairi Kama tairi bado huduma ndani ya ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo! Atashtakiwa kwa kuzusha taharuki kwa watu wanaotegemea kuitumia ATCL.Wataanza Kugagua hiyo SEAT alikaa nani
Umefanya vyema sana Mkuu. Kuweka habari ikiambatana na Picha.. Unasatahili Pongezi na shukrani kwa hii wake up call kwa Shirika..Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika.
Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti.
Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa.
Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
View attachment 2197854
View attachment 2197855
Technicians: Wanawajibika kwenye Dail inspection and weekly Preventive Maintenance .Ni ya kina Nani mkuu
Kwa mujibu wa taarifa ya CAG ya juzi hakuna cha kunenepesha profit books wala nini, ni mwendo wa hasara tuu kwenda MbeleNina picha kama hiyo ya ndege inayofanana na hiyo, tofauti ni kuwa yangu niliipiga mwaka juzi nikitokea bukoba, with stoppover mwanza , by then niliogopa hata kuileta hapa kwa hofu kuu ya the late .
Atcl wapo busy kunenepesha profit books ili waonekane wanajiendesha kwa faida matokeo yake hata basic servise zinachelewa
When you put profit before safety, thats when youll have accidents.
Na wewe tutakuloga na kabla wiki haijaisha utakuwa umefukuzwa kazi halafu utakuwa huoni wala kusikia tena...Tutakukamata tunajua Siti uliyokaa na taarifa zako tunazo, inaleta taharuki kwa watanzania. Asante
Kama ya IST!!!!!!Kumbe ndege zina tyre kubwa hivi.
Asante bwashee kwa elimu nzuri kabisaSio kama umekosea ni sahihi kabisa kumbukumbu zako. Tena Emirates walisitisha order ya ndege nyingine type hiyohiyo ya Boeing. Hiyo ilikuwa rangi imebanduka na wanajua haina madhara kufanya usitishe safari za ndege na wataalam walipopima mwanzoni walisema haina madhara. Ila Emirates hawakuwa na uhakika kama hakuna kasoro kwenye body mfano mfumo wa kuzuia radi.
Sasa huyu mchumiatumbo yupo analazimisha tuamini tairi lililolika ni salama eti kwa kutumia procedures sijui specifications. Anabishana na Goodyear ambao ndio one of the best katika utengenezaji wa matairi [emoji116]
... When inspecting aircraft tires, the first thing to check (after checking the tire pressure) is the amount of remaining tread to avoid excessive wear and possible unsafe conditions. According to Larry Rapsard, product support manager for The Goodyear Tire & Rubber Company (NYSE: GT), "Aircraft tires should be removed when the tread is worn to the base of any groove at any spot, or to the minimum depth stated by the aircraft manufacturer."
Au hivi [emoji116]View attachment 2198749
Unaona hiyo kwenye mbawa.kushoto kulia.Wewe utakuwa hujawai kabisa kupanda ndege. Ukiwa kwenye siti za dirishani karibu na mlango wa emergency unaona matairi yote
Hilo tairi halina madhara licha ya nyuzi kuchungulia.Asante bwashee kwa elimu nzuri kabisa
Asije mbishi akabisha tena na Hii
Hilo tairi halina madhara licha ya nyuzi kuchungulia.
Halina upepo ni mpira tu mwanzo mwisho lipasuke vipi?
Halafu hawa watalii wamerudi?🤔
Mchina jipya bora libaki hilo used original!nunueni hata mchina bhanaa........
Hizo tairi ukiangalia tu ni nzima sana.hizo nyuzi sio issue kabisaMkuu kuna vitu unaelezwa lakini hata kama wewe siyo mtaalamu wa hiyo fani, lakini mantiki tu inakataa. Sawa hizo ni tairi zenye matabaka. Tairi moja tabaka limeisha, ina maana tairi moja ni kubwa kuliko la pili. Kwenye kubeba mzigo hapo yanabeba sawa? Moja likizidiwa?
Hata hivyo hebu turudi nyuma. Inakuwaje tairi zilizokaa pamoja vile, moja iishe kwa kiwango kile na ya pili ikiwa nzuri bado walau kashata zinaonekana! Je, kuna mlinganyo hapo?? Kukosekana mlinganyo si tatizo???. Au hiyo tairi ilifungwa ikiwa imeisha hivyo?, kwanini?
Nafahamu kuna swala la tairi ya ndani kuanza kuisha kwenye vyombo vya moto barabarani. Nayo pia hutokea kwenye ndege?. Hata kama hutokea, ndio liachwe kwa kiwango kile cha nyuzi kuonekana???
Za kuambiwa changanya na zako (kama zipo). Lakini siyo habari ya kuambiwa tairi zina matabaka. Sawa zina matabaka....halafu!!!!
Rangi kubanduka ina maana fuselage yako inaingia kwenye tatizo ikiwa ni pamoja na kupata kutu.
Babu acha kupotoshaHilo tairi halina madhara licha ya nyuzi kuchungulia.
Halina upepo ni mpira tu mwanzo mwisho lipasuke vipi?
Halafu hawa watalii wamerudi?🤔
Are you sure?Tatizo la hizo A220 ni kutuHaiwezi kupata kutu kwa sababu sio chuma
Airline industry is a safety regulated bussiness, cha kwanza kabisa ni usalama na hauwezi kuwa compromised na chochote kile , at 39000 feets above sea level hakuna msaada wowote mtakaopata kama ndege itazinguaNdio hivyo! Atashtakiwa kwa kuzusha taharuki kwa watu wanaotegemea kuitumia ATCL.
Hivyo atakuwa ni mhujumu Uchumi.