Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

Mkuu unajaribu kuweka unalolijua kwa usilolijua. Hivi runway ina characteristics zilizo uniform? Najiuliza tu. Utuwaji wa ndege, contact point ya tairi na runway ni sawa kwa tairi zote? Najiuliza tena. Breaking? Tairi umeambiwa ziko salama na ndio maana pilot hakuweka comment kuwa tairi ni mbovu kwe tech log. Utaendelea kuziona.
 
Sasa hiyo runway inapita hiyo tairi moja???? Hebu tumia akili zako kwanza, achana na hizo za kubebeshwa.
 
Hizi ndo zile tairi zinaitwa mitano tena au? nunueni hata mchina bhanaa.......
Yah! Kuna swali umenikumbusha mkuu. Au walifunga tairi mbili zenye ubora tofauti?, moja ya ubora wa juu na nyingine ya ubora wa chini, kwanini?, ATCL hawana kiwango kimoja??.
Halafu mtu anakwambia ilishatolewa ufafanuzi, ni tairi zenye matabaka.
Hata makalio yana matabaka. Mnisamehe!!!!
 
Tatizo hutaki kujua. Ni hivi hakuna rubani mjinga kurusha ndege ili afe. Tairi ni nzima. Nilikuwa nakupa scenario zinazoweza kusababisha tyre moja kuisha haraka kuliko ingine. Bahati mbaya naona wewe ni injinia au rubani wa ATCK unayo majibu
 
Kuna watu wanatia mpaka kinyaa... sasa nimuulize swali... tairi kuwa na Layer ndio ina justify kutumia Tyre ambayo imekwisha due to wearing & Tearing... au unatuona Watanzania woote 60 ni Mazwazwa!!!
Phyiscs ya F2... Friction
 
Kuna watu wanatia mpaka kinyaa... sasa nimuulize swali... tairi kuwa na Layer ndio ina justify kutumia Tyre ambayo imekwisha due to wearing & Tearing... au unatuona Watanzania woote 60 ni Mazwazwa!!!
Huwezi kutumia tairi iliyokwisha kama specifications zinakuonyesha imekwisha. Specifications ndio zinakupa mwongozo wa tairi kuitwa imekwisha sii macho yako tu. Ndege inakaguliwa usiku, rubani kakagua kabla ya kuondoka na kumbuka huenda marubani zaidi ya wawili wametumia ndege hiyo leo kwa vipindi tofauti. Wote ni mazwazwa.? Tuache ujuaji na kashifa kwa wataalamu
 
Hao marubani walikagua lower surface of the Tyre... ndege ikiwa Angani kupata best view kama Abiria alivyo snapshot????
 
Kuna watu wanatia mpaka kinyaa... sasa nimuulize swali... tairi kuwa na Layer ndio ina justify kutumia Tyre ambayo imekwisha due to wearing & Tearing... au unatuona Watanzania woote 60 ni Mazwazwa!!!
Phyiscs ya F2... Friction
Kuna watu wa ajabu sana. Halafu anasema hakuna rubani mjinga.......marubani wenyewe hawa wa kupokea kimemo toka wizarani....usirushe ndege msubiri mwenyekiti wa board ya TRA anamalizia kikao... Then watu 100+ mnakaa kumsubiri!!!!!
 
Wanasubiria Kwanza iue ndipo wafanye unavyotaka / ulivyokuwa ukitaka Wewe Ndugu.
 
Hii ni Atari kuliko wanavyodhani. Hapo Engineer aliekagua na kujaza log book ahojiwe. Rubani pia anatakiwa kuhojiwa kwanini aruhusu kuruka na tairi kama Hilo.
Nafikiri Matindi na Tim yake wajichunguze
Hivi ukituliza Akili yako na kuiangalia Kiumakini Sura ya Boss wa ATCL Matindi unaona hata dalili ya Mafanikio na Mabadiliko?

Sura yake ilivyochoka na kukunjamana ndiyo hata ATCL ilivyochoka na Mioyo ya Staff wake wote nao ilivyokunjamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…