Huu ni uzembe haswa haswa sijui tunamatatizo gani vichwani mwetu.
Huu sio uzembe ni UHALIFU kwani unahatarisha maisha ya abiria! I hope ATCL watalichukulia hili kwa uzito wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uzembe haswa haswa sijui tunamatatizo gani vichwani mwetu.
Mkuu unajaribu kuweka unalolijua kwa usilolijua. Hivi runway ina characteristics zilizo uniform? Najiuliza tu. Utuwaji wa ndege, contact point ya tairi na runway ni sawa kwa tairi zote? Najiuliza tena. Breaking? Tairi umeambiwa ziko salama na ndio maana pilot hakuweka comment kuwa tairi ni mbovu kwe tech log. Utaendelea kuziona.Mkuu kuna vitu unaelezwa lakini hata kama wewe siyo mtaalamu wa hiyo fani, lakini mantiki tu inakataa. Sawa hizo ni tairi zenye matabaka. Tairi moja tabaka limeisha, ina maana tairi moja ni kubwa kuliko la pili. Kwenye kubeba mzigo hapo yanabeba sawa? Moja likizidiwa?
Hata hivyo hebu turudi nyuma. Inakuwaje tairi zilizokaa pamoja vile, moja iishe kwa kiwango kile na ya pili ikiwa nzuri bado walau kashata zinaonekana! Je, kuna mlinganyo hapo?? Kukosekana mlinganyo si tatizo???. Au hiyo tairi ilifungwa ikiwa imeisha hivyo?, kwanini?
Nafahamu kuna swala la tairi ya ndani kuanza kuisha kwenye vyombo vya moto barabarani. Nayo pia hutokea kwenye ndege?. Hata kama hutokea, ndio liachwe kwa kiwango kile cha nyuzi kuonekana???
Za kuambiwa changanya na zako (kama zipo). Lakini siyo habari ya kuambiwa tairi zina matabaka. Sawa zina matabaka....halafu!!!!
Majibu hayo hapo juu. Hizi ni ndege sio bajaji.ATCL
Sasa hiyo runway inapita hiyo tairi moja???? Hebu tumia akili zako kwanza, achana na hizo za kubebeshwa.Mkuu unajaribu kuweka unalolijua kwa usilolijua. Hivi runway ina characteristics zilizo uniform? Najiuliza tu. Utuwaji wa ndege, contact point ya tairi na runway ni sawa kwa tairi zote? Najiuliza tena. Breaking? Tairi umeambiwa ziko salama na ndio maana pilot hakuweka comment kuwa tairi ni mbovu kwe tech log. Utaendelea kuziona.
Yah! Kuna swali umenikumbusha mkuu. Au walifunga tairi mbili zenye ubora tofauti?, moja ya ubora wa juu na nyingine ya ubora wa chini, kwanini?, ATCL hawana kiwango kimoja??.Hizi ndo zile tairi zinaitwa mitano tena au? nunueni hata mchina bhanaa.......
Nina wasiwasi kama barafu tuko nae bado. Mbona ameadimika hivi muda mrefu
Huwezi kutumia tairi iliyokwisha kama specifications zinakuonyesha imekwisha. Specifications ndio zinakupa mwongozo wa tairi kuitwa imekwisha sii macho yako tu. Ndege inakaguliwa usiku, rubani kakagua kabla ya kuondoka na kumbuka huenda marubani zaidi ya wawili wametumia ndege hiyo leo kwa vipindi tofauti. Wote ni mazwazwa.? Tuache ujuaji na kashifa kwa wataalamuKuna watu wanatia mpaka kinyaa... sasa nimuulize swali... tairi kuwa na Layer ndio ina justify kutumia Tyre ambayo imekwisha due to wearing & Tearing... au unatuona Watanzania woote 60 ni Mazwazwa!!!
Hao marubani walikagua lower surface of the Tyre... ndege ikiwa Angani kupata best view kama Abiria alivyo snapshot????Huwezi kutumia tairi iliyokwisha kama specifications zinakuonyesha imekwisha. Specifications ndio zinakupa mwongozo wa tairi kuitwa imekwisha sii macho yako tu. Ndege inakaguliwa usiku, rubani kakagua kabla ya kuondoka na kumbuka huenda marubani zaidi ya wawili wametumia ndege hiyo leo kwa vipindi tofauti. Wote ni mazwazwa.? Tuache ujuaji na kashifa kwa wataalamu
Kuna watu wa ajabu sana. Halafu anasema hakuna rubani mjinga.......marubani wenyewe hawa wa kupokea kimemo toka wizarani....usirushe ndege msubiri mwenyekiti wa board ya TRA anamalizia kikao... Then watu 100+ mnakaa kumsubiri!!!!!Kuna watu wanatia mpaka kinyaa... sasa nimuulize swali... tairi kuwa na Layer ndio ina justify kutumia Tyre ambayo imekwisha due to wearing & Tearing... au unatuona Watanzania woote 60 ni Mazwazwa!!!
Phyiscs ya F2... Friction
[emoji23][emoji23][emoji23]Tutakukamata tunajua Siti uliyokaa na taarifa zako tunazo, inaleta taharuki kwa watanzania. Asante
Wanasubiria Kwanza iue ndipo wafanye unavyotaka / ulivyokuwa ukitaka Wewe Ndugu.Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika. Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti. Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa. Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
View attachment 2197854
View attachment 2197855
Ni milion tatu,na inatakiwa kuibadili kila baada ya kutua mara 100,naona wana save gharamakwani tairi za ndege zinauzwa pesa ngapi halafu kweli hili akina Zitto & Pascal Mayalla wameshindwaje kulisemea wakati wao wanapanda pipa kila week
Hivi ukituliza Akili yako na kuiangalia Kiumakini Sura ya Boss wa ATCL Matindi unaona hata dalili ya Mafanikio na Mabadiliko?Hii ni Atari kuliko wanavyodhani. Hapo Engineer aliekagua na kujaza log book ahojiwe. Rubani pia anatakiwa kuhojiwa kwanini aruhusu kuruka na tairi kama Hilo.
Nafikiri Matindi na Tim yake wajichunguze