Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

Hivi ukituliza Akili yako na kuiangalia Kiumakini Sura ya Boss wa ATCL Matindi unaona hata dalili ya Mafanikio na Mabadiliko?

Sura yake ilivyochoka na kukunjamana ndiyo hata ATCL ilivyochoka na Mioyo ya Staff wake wote nao ilivyokunjamana.
Wewe una issue nae sio matairi, ha ha ha! Tairi ni nzima
 
Kuna jamaa anajaribu kutetea kwa kuleta theory lakini reality inakataa..kusingekuwa na picha jamaa angeweza kutetea lakini hapo ATCL inabidi waibadili tu hiyo tyre
Hawa haha ya k6badili kwa pucha ba mabeni ya JF. Wanatakuwa k6fuata procedures. Hapa JF hakuna anaefanyakazi workshop ya ATCL
 
Hawa haja ya kubadili kwa picha na maneno ya JF. Wanatakuwa kufuata procedures. Hapa JF hakuna anaefanyakazi workshop ya ATCL
 
Kuna jamaa anajaribu kutetea kwa kuleta theory lakini reality inakataa..kusingekuwa na picha jamaa angeweza kutetea lakini hapo ATCL inabidi waibadili tu hiyo tyre
Hizi picha zilishakuja hapa kama mara 15 na ufafanuzi ukatolewa. Ajabu abiria eti ndie anaejua kuliko rubani au injinia. Kwa hii habari hakuna rubani ambae angekubali kurusha hii ndege kama hayo mbayosema ni kweli.
 
Hawa haha ya k6badili kwa pucha ba mabeni ya JF. Wanatakuwa k6fuata procedures. Hapa JF hakuna anaefanyakazi workshop ya ATCL
Ni kwa manufaa yao na biashara yao...a customer is always right!
 
Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika. Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti. Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa. Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
View attachment 2197854

View attachment 2197855
Hela za ile movie si ingenunua hayo matairi?. Haya majizi, mungu anayaona.
 
Kuna habari nilisoma emirates kudai fidia airbus kutokana na ndege kupata tatizo la rangi kubanduka kwenye fuselage, pamoja na airbus kudai hiyo ni minor breach ambayo haiathiri usalama wa ndege ishu ilipelekwa mahakamani ikidaiwa fidia ya dola milioni 600 kama sijakosea.......kwa hiyo ndugu mteteaji hili nalo unalizungumziaje, je, huoni kwamba situation inayoweza kuleta tu hofu au mashaka kwa abiria tayari inakuwa ni doa kwenye safety standards?
 
Rangi kubanduka ina maana fuselage yako inaingia kwenye tatizo ikiwa ni pamoja na kupata kutu. Rangi sii pambo tu bali ni protection pia against meteorological effect. Swala la tairi wataalam wameekeza kuwa sio tatizo kama ilivyo kwa mtazamo wetu. Sie tunalazimisha ni tatizo. Wakatupa na proof last time ya aina na part namba ili tufuatilie. Yes kama hujui inatia wasiwasi maana hujui na huna uelewa huo. Experience yako ni tairi ya gari.
 
Eeh!!
20220316_153936.jpg
 
Hata mi nimefikiria huko ndani yasionekana, sijui watakuwa wameyafanyaje hawa wasiojali maisha ya binadamu.
Tairi tu unajambajamba. We waza huko kwenye engine huko mafrekeshen , manyaya walivounga unga.
 
Mkuu, iweke WhatsApp hii izunguke katika magurupu. Kutakuwa na positive impact. Wakubwa wataiona. Na kutakuwa na mabadiliko chanya.
Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika. Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti. Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa. Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
View attachment 2197854

View attachment 2197855
 
Tatizo hutaki kujua. Ni hivi hakuna rubani mjinga kurusha ndege ili afe. Tairi ni nzima. Nilikuwa nakupa scenario zinazoweza kusababisha tyre moja kuisha haraka kuliko ingine. Bahati mbaya naona wewe ni injinia au rubani wa ATCK unayo majibu
Ficha ujinga sometimes: As a general rule, if the tire tread has been worn to the base of any groove anywhere on the tire, it should be replaced. Additionally, if any of the inner fabric structure is showing through the tire tread, the tire needs to be replaced , regardless of the tread depth; this is a very serious condition.https://www.aopa.org/news-and-media/all-news/2013/march/19/from-touchdown-to-tiedown-aircraft-tires

Elewa risk ya tairi ndiyo ilisababisha ajali the great Concorde japo ile ilikuwa punctured na object...haya ni masuala ya usalama wa wananchi hayahitaji siasa...hizo tairi hazifai kuwa hapo kwenye ndege zetu.
 
Badala ya kutatua Tatizo utashangaa Mtoa mada(taarifa) anatafutwa atekwe na awekwe ndani bila dhamana.

Nchi yetu ina shida
Alafu simple sana kumtia mikononi, hapo tunasearch date, seat located to window na route ...
 
Hii ni Atari kuliko wanavyodhani. Hapo Engineer aliekagua na kujaza log book ahojiwe. Rubani pia anatakiwa kuhojiwa kwanini aruhusu kuruka na tairi kama Hilo.
Nafikiri Matindi na Tim yake wajichunguze
CAG hii hajaoona!
 
Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika. Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti. Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa. Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
View attachment 2197854

View attachment 2197855
Uwezo wa serikali kuendesha biashara kwa ufanisi ni hakuna!
Ukute kubadili tairi kunahitaji kibali kinachosubiriwa miaka!
Hivi Precision Air hawaendi Mbeya?
Walifanya makosa kuua FastJet
 
Back
Top Bottom