Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje Schoolface ni binti?[emoji3]Wewe binti acha kuchukulia mambo serious humu JF utapata stress za bure tu[emoji847].
Malengo wapi wkt hata CAG Assad enzi zake kwny report alisema shirika lilifuliwa bila b'ness plan(walitaka wapewe b'ness ya ATCL) waisome ,wakaambiwa hatuna kitu kama hicho.Hili shirika Magufuli alikua na malengo mazuri nalo, lakini kwa jinsi linavyoendeshwa nahisi litakufa tena.sijui ni hujuma wanafanyiana au kitu gani !
... exactly, of course! "I and my team we want to bring to your attention that Tanzania has ..."; so American indeed!Tulishapita hizo stage za kishamba Sasa hivi tunaongea American English through the nose.
(It want tourism it show royal tour, the tourist come mwamwamwa, the us dollar twatwatwa full)
Kwenye Maswala ya angaJana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika. Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti. Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa. Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
View attachment 2197854
View attachment 2197855
Hiyo ni expansion joint mkuu, tairi bado zima !![emoji1][emoji1]Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika. Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti. Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa. Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
View attachment 2197854
View attachment 2197855
Hao ni wazee wa mchakato wa manunuzi, ngoja tuone hizi tairi kipara tutatembelea hadi lini kusubiri mchakato wa manunuzi kukamilika...Uwezo wa serikali kuendesha biashara kwa ufanisi ni hakuna!
Ukute kubadili tairi kunahitaji kibali kinachosubiriwa miaka!
Hivi Precision Air hawaendi Mbeya?
Walifanya makosa kuua FastJet
Duhh.. ni hatari aiseeJana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika. Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti. Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa. Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
View attachment 2197854
View attachment 2197855
Walioweka standard awakuwa wajinga,ni SAwa na Yale ya mv bukoba ya kuweka zege badala ya maji meli ikakosa balance kwenye kona ikapinduka. Mbongo mjuaji kuliko hata aliyebuniKwa sababu tairi inafaa. Tusing'ang'anize kutokuelewa kwetu ndo liwe jibu
KhaaJana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika.
Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti.
Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa.
Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
View attachment 2197854
View attachment 2197855
... asante kwa maelezo mazuri ila sio kwa uishaji ule mkuu! Dah; minyuzi inaonekana throughout along the tire! Hata kwa macho ya kawaida tu it is unacceptable otherwise, tire manufacturers wangekuwa wanaacha nyuzi na waya zijitokeze tu nje!Kwenye Maswala ya anga D
SAFETY wanazingatia sanaaaa, na ndo maana kila kitu kinaongozwa na Maintenance Procedures, kwahio kila kitu kimepewa mda wake wakuishi, hata tairi la ndege lina limit na linataratibu zake mfano ili ulitoe inabid uwe umetua mara ngapi au uwe umeona nini, matengenezo yote yanafata taratibu zilizotolewa kiwanda cha hio ndege husika.., hii ni tofauti na gar tukinunua beforward tunatengeneza mpaka tukiona tatizo ni wachache wanapeleka gari for check up wengi wetu gari tunalipeleka tunavyotaka sie humpelekei fundi mpaka usikie mlio yaani hakuna muongozowa matengenezo ambao mafundi/wamaliki wanabidi waufate kutoka kwa manufacturer’s wa magari na kama upo basi hatu ufati, sasa kwenye mambo ya anga si hivyo aliye iunda hio ndege anakupa taratibu zake uzifate na ni lazima wazifate. Mfano Ifikapo mda husika ni lazima utoe au uonapo level fulani ya worn ni lazima ulitoe
Hizi factors zote na alie unda tairi zimezingatiwa ikiwemo uishaji matairi kwa kiwango tofauti, matairi hayaishi sawa kwa kawaida.Ulisema vyema sana kuwa unadhani kuna kiwango kina ruhusiwa maana haukuwa na uhakika. Sasa kitu ambacho kingefata ni ungeuliza je ni kiwango gani au tair linatolewa kwa utaratibu gani? Maana kwenye hayo mambo Usalama unazingatiwa kuliko kitu chochote. Alaf tusikie kutoka kwa wataalamu waliobobea kwenye hizo sehemu husika.
Nahisi sisi ambao hatuko kwenye industry na hatuna uhakika na taratibu au sheria zinazofatwa ni vyema tuwe tunauliza kuliko kutoa kauli kusema “tutauliwa kizembe!!!”
Aisee hiyo ni hatari sana sana sijui wahusika wa usalama wa ndege wanafanya kazi gani huko viwanja vya ndege na ukaguzi zero namna hiyo.
hayo malori yenye matairi mengi tena ya kwenye trailer hauwezi kukuta yanatembelea tairi iliyotoa waya/nyuzi namna hiyo.
Huu ni uzembe haswa haswa sijui tunamatatizo gani vichwani mwetu.
Unaweza kuwa na point lakini tatizo lako ni moja: Una kiburi ambacho wataalam wengi wa Bongo wanacho. Kiburu cha dharau na kuona kila mtu ambaye hana utaaalam na fani yako ni mjingi na hapaswi kuwa na dukuduku lolote hata kama anadhani kuna hitilafu. Ungekuwa umeelezea vizuri pengine ungeeleweka haraka zaidi. Ni kweli tairi zina layers, lakini layer ya juu haikuwekwa kama mapambo. Ungetoa ufafanuzi ili watu wajue mambo kama hayo.Hizi picha zilishakuja hapa kama mara 15 na ufafanuzi ukatolewa. Ajabu abiria eti ndie anaejua kuliko rubani au injinia. Kwa hii habari hakuna rubani ambae angekubali kurusha hii ndege kama hayo mbayosema ni kweli.
Tatizo liko kwa wataalam wa kibongo. i.e. viburi na kujiona wanajua sana na mtu mwingine akihoji lolote ni mjinga. Huyu aliyeanzisha mada hana kosa lolote. Wengi tunajua kabisa ndege zina utaratibu maalum wa service ambao unatakiwa kuzingatia kwa kiwango cha hali ya juu. Lakini pamoja na haya yote zimeshajitokeza incidences nyingi tu za service kutokuzingatia ubora hivyo kusababisha ajali. Abiria anapoona kitu kama hicho na kuhoji, ni busara ajibiwe kwa kuelimishwa bila kubezwa.Kwenye Maswala ya anga D