Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

ATCL wametoa maelezo nimeshindwa kupata ukweli kuhusiana na matumizi ya matairi yanayotaka iruke miruko minane kwanza toka walipobaini ukipara wa hayo matairi ndiposa wayabadilishe. Uwongo wa wataalamu unajificha katika elimu waliyonayo kwa kudhani kwamba ambao hawana elimu hiyo wataswangwa tu kama nyumbu. Kitoto kidogo kilimwona Mfalme ambaye alikuwa uchi kabisa, watu wazima kwa kuogopa au pengine unafiki tu walimwona Mfalme kavaa lebasi za yakuti, almasi na dhahabu. Majuto mjukuu, mwana ni kitendo. Tusisubiri hadi yawakute wasafiri ndipo tuchukue hatua.
 
Tairi tu unajambajamba. We waza huko kwenye engine huko mafrekeshen , manyaya walivounga unga.
Ni bora ndege ipate tatizo la engine kuliko ubovu wa tairi.
Sababu ubovu wa tairi hapo unakuwa unaongelea kufa huku unajiona.

Kwa kanuni za aerodynamics hata engine ya ndege ikifail mid-air kutokana na momentum ya ndege at the moment basi ndege itakuwa na uwezo wa kutua kiwanja cha karibu au kugeuza na kurudi worst case scenario ni crash landing ambapo kuna asilmia 60% ya survival.
Kuna baadhi ya ndege zina uwezo wa kuendelea kuruka mpaka dk 30 angani baada ya engine failure na kufanya emergency landing bila tatizo.
Lakini tairi la ndege likibust mid-air au kabla ya take off au kugoma kutoka wakati wa kutua basi hapo jihesabie kufa kifo kibaya.

Kuna movie inaitwa sully 2016 ya mkali Tom hanks inahusu ndege iliyopata tatizo la engine angani soon baada ya take off nenda kaicheck utapata mwanga kidogo kuhusu engine failures na emergency landings.
 
Wamejibu mkuu.. eti ule ni mruko wa kwanza tangu nyuzi kuanza kutokeza.. bado miruko 8 ndipo waagize🙂
 
Watakwambia mwenda zake ndo kasababisha tairi limekuwa kipara ...........

Au baraza la vichaa wa kule kona ya UFIPA watakwambia kununua tair mpya ni uharibifu wa fedha za uma ..........

alafu utawaskia JOINI ZE CHENI

POVU RUKSAA ..[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Tatizo hutaki kujua. Ni hivi hakuna rubani mjinga kurusha ndege ili afe. Tairi ni nzima. Nilikuwa nakupa scenario zinazoweza kusababisha tyre moja kuisha haraka kuliko ingine. Bahati mbaya naona wewe ni injinia au rubani wa ATCK unayo majibu
Mkuu kwa Bongo hii Mabasi yanachomelewa na vyuma vya kujengea nyumba?

Bongo hii tuliambiwa Basi lile la Moro lilo ua kuna sehemu waliunga na marine board ndizo zikakata sana abiria miguu?
 
Big up jamiiforums, big up mleta uzi kwa kuokoa maisha ya wa WTanzania, kwa uzi huu ATCL wame salim amri, na sasa watafanya ukaguzi kwenye ndege zao zote
 
Mwamba alituambia ndege inakwenda nje kuchorwa twiga ikiwa na wahudumu,itakaa Sikh kadhaa.akaona ushenzi kamata mmakonde chora kwa 5 laki
 
Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.

Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.

Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika.

Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti.

Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa.

Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.

Pia Soma; ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii
View attachment 2197854

View attachment 2197855
Na hili la tairi lawama hatatupiwa Magufuri, kwanini alikufa pasipo kuwanunulia tairi 🏃🏃
 
Hizo tairi ukiangalia tu ni nzima sana.hizo nyuzi sio issue kabisa
Hiyo bajaj sio km vi harrier vyenu mnanunua china au Japan kwenda navyo Moshi.
Hiyo ni ndege, haichomoki hapo Airport bila kuchekiwa uzito,ujazo na kilakitu.
Mshamba mmoja kapanda picha mpk za matairi anarusha.
Angechukua long haul flight 14 hrs huyu si angekufa kwa presha.
Kuna sehemu huko kati Afghanistan na Iraq mkipita inapigwa swala mnatulia na mnaambiwa mfunge mikanda.
Lolote linaweza kutokea, hapo hata wahudumu wanajifungia huko.
We si utakufa kabisa.
Kuna Gape la Rome- Addiss ushapita?
Matairi hayahusiki hapo, utaweza kuomba sala zote unazozijua hapo kati
Umejibu kwa jeuri sana mkuu bahati mbaya hukuwa unajua chochote juu ya unachokitetea!!

Uliwahi kuona wapi tairi isiyojazwa upepo ikaisha Kwa staili hiyo?

hata tairi ya wheel barrow haijawahi kutoa nyuzi nyuzi kwenye kuisha kwake..
 
Mi nadhani tufanye fund raising and award the whistleblower. Hii itapromote calture ya kuongea mambo ya namna hii. Jamaa ameamuwa kujilipua.
 
Back
Top Bottom