Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,960
- 2,455
TayariSerikali itoe tamko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TayariSerikali itoe tamko
Ni bora ndege ipate tatizo la engine kuliko ubovu wa tairi.Tairi tu unajambajamba. We waza huko kwenye engine huko mafrekeshen , manyaya walivounga unga.
Wamejibu mkuu.. eti ule ni mruko wa kwanza tangu nyuzi kuanza kutokeza.. bado miruko 8 ndipo waagize🙂Ni bora ndege ipate tatizo la engine kuliko ubovu wa tairi.
Sababu ubovu wa tairi hapo unakuwa unaongelea kufa huku unajiona.
Kwa kanuni za aerodynamics hata engine ya ndege ikifail mid-air kutokana na momentum ya ndege at the moment basi ndege itakuwa na uwezo wa kutua kiwanja cha karibu au kugeuza na kurudi worst case scenario ni crash landing ambapo kuna asilmia 60% ya survival.
Kuna baadhi ya ndege zina uwezo wa kuendelea kuruka mpaka dk 30 angani baada ya engine failure na kufanya emergency landing bila tatizo.
Lakini tairi la ndege likibust mid-air au kabla ya take off au kugoma kutoka wakati wa kutua basi hapo jihesabie kufa kifo kibaya.
Kuna movie inaitwa sully 2016 ya mkali Tom hanks inahusu ndege iliyopata tatizo la engine angani soon baada ya take off nenda kaicheck utapata mwanga kidogo kuhusu engine failures na emergency landings.
Mkuu kwa Bongo hii Mabasi yanachomelewa na vyuma vya kujengea nyumba?Tatizo hutaki kujua. Ni hivi hakuna rubani mjinga kurusha ndege ili afe. Tairi ni nzima. Nilikuwa nakupa scenario zinazoweza kusababisha tyre moja kuisha haraka kuliko ingine. Bahati mbaya naona wewe ni injinia au rubani wa ATCK unayo majibu
Kwani haya mambo yakutekana bado yapo?Badala ya kutatua Tatizo utashangaa Mtoa mada(taarifa) anatafutwa atekwe na awekwe ndani bila dhamana.
Nchi yetu ina shida
Na hili la tairi lawama hatatupiwa Magufuri, kwanini alikufa pasipo kuwanunulia tairi 🏃🏃Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.
Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.
Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika.
Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti.
Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa.
Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.
Pia Soma; ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii
View attachment 2197854
View attachment 2197855
Unaishi hapa Taifani?
Nilikatiwa na kampuni kiongozi. Na ilikuwa round trip ya MbyDarMwz na kurudi MwzDarMby. Nakumbuka kwenye tiketi kulikuwa na bei ila siikumbuki tena. Hata nikikuchekia hutapata reflection ya one trip.
Umejibu kwa jeuri sana mkuu bahati mbaya hukuwa unajua chochote juu ya unachokitetea!!Hizo tairi ukiangalia tu ni nzima sana.hizo nyuzi sio issue kabisa
Hiyo bajaj sio km vi harrier vyenu mnanunua china au Japan kwenda navyo Moshi.
Hiyo ni ndege, haichomoki hapo Airport bila kuchekiwa uzito,ujazo na kilakitu.
Mshamba mmoja kapanda picha mpk za matairi anarusha.
Angechukua long haul flight 14 hrs huyu si angekufa kwa presha.
Kuna sehemu huko kati Afghanistan na Iraq mkipita inapigwa swala mnatulia na mnaambiwa mfunge mikanda.
Lolote linaweza kutokea, hapo hata wahudumu wanajifungia huko.
We si utakufa kabisa.
Kuna Gape la Rome- Addiss ushapita?
Matairi hayahusiki hapo, utaweza kuomba sala zote unazozijua hapo kati
Huyo jamaa lazima atakuwa msemaji wa ilo shirika!![]()
Airplane Tires Don’t Explode on Landing Because They Are Pumped!
They're like the tires on your car—but way stronger.www.wired.com
View attachment 2199272
View attachment 2199273
View attachment 2199274
Na nani Mkuu. Jana nimeshaipokea taarifa ya ATCL japokuwa inaacha maswali mengi.Una habari unatafutwa Mkuu,