Kwenye korido za jniaNdege ya Fly Emirates namba EK 262 iliyokuwa ikitokea Sao Paulo kuelekea Dubai, imebadili njia na sasa yaelekea kutua JNIA baada ya kupata dharura.
Inakuja tua JNIA sababu imekwepa Anga la Sudan ambapo kuna hali ya sinto fahamu
Mahotel na Coaster zijiandae kunufaika maana abiria ni zaidi ya 200View attachment 2588987
Militia vs Military(kimeduka huko) pia pale Sudan kila ndege ikipita lazima usome dua zote unakiona kidege kinatetemeka kama kuku wa mvua🤣Hali ya hatari kiaje
Nafikiri huwa wanapita anga la kimataifa juu ya Sudan.Kwa anaejua...
Ulikuwa lazima wapite anga la Sudan? There was no way Waka navigate to the other country?