Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Ndege ya Fly Emirates namba EK 262 iliyokuwa ikitokea Sao Paulo kuelekea Dubai, imebadili njia na sasa yaelekea kutua JNIA baada ya kupata dharura.

Inakuja tua JNIA sababu imekwepa Anga la Sudan ambapo kuna hali ya sinto fahamu

Mahotel na Coaster zijiandae kunufaika maana abiria ni zaidi ya 200
20230415_202923.jpg
 
Ndege ya Fly Emirates namba EK 262 iliyokuwa ikitokea Sao Paulo kuelekea Dubai, imebadili njia na sasa yaelekea kutua JNIA baada ya kupata dharura.

Inakuja tua JNIA sababu imekwepa Anga la Sudan ambapo kuna hali ya sinto fahamu

Mahotel na Coaster zijiandae kunufaika maana abiria ni zaidi ya 200View attachment 2588987
Kwenye korido za jnia
 
Ndege kubwa ya abiria aina ya #Airbus #A380 ya shirika la ndege Emirates yatua katika uwanja wa ndege wa kimataifa Julius Nyerere (JNIA) kwa sababu za kiufundi.
Hii ni mara ya pili kwa ndege hii kubwa ya abiria ulimwenguni kutua. uwanja wa ndege wa #JNIA.

Aidha ndege hiyo yenye safari namba EK262 kutoka Sao Paulo kwenda #Dubai inadhaniwa kuepuka anga la Sudan kutokana na machafuko ya kisiasa.

Dude la kimataifa.jpg
 
Back
Top Bottom