Ndege ya Kenya Airways yatua Dar kwa dharura baada ya injini kuwaka moto!

Ndege ya Kenya Airways yatua Dar kwa dharura baada ya injini kuwaka moto!

Hivi unadhani mimi Mtanzania au nini? 😂😂

Bricks and mortar engineer, ndiyo wewe ulikuwa ukiuliza mbona waTanzania hawakuwemo kwenye ile ndege iliyanguka Ethiopia.
Teh teh tihiii
Ngoja nikuache.
 
Naanza kuogopa kupanda ndege kwa mfululizo wa hizi hitilafu
Usiogope mkuu injini zina mfumo wa fire exstinguisher ndani yake so moto ukiwaka tu pilot wanauzima fasta then wanatafuta the nearest airport swala jingine ni kwamba ndege inaweza kuluka na injini moja sema waliweka injini mbili kwasababu ya matatizo kama haya yakitokea zile kubwa wanafunga hadi injini nne
 
Sasa huyo mjeshi pembeni ya ndege anafanya nini hapo na silaha yake
askari wa fire huyo wako pale kwa ajili ya hizo emergency landing na wana mafunzo yakutosha na magari ya kisasa mno
 
February 12, mwaka huu? kwanini umeamua kutukumbusha leo April 9 mwaka huu? au kwavile mtu Fulani kasema TZ hakuna wanaume? Ni katika kutafuta sababu tu!
 
Back
Top Bottom