Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
YesBoeing 737 max ndio grounded.. 787 iko Sawa... Emergency landing ni kitu cha kawaida na inafanyika kote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesBoeing 737 max ndio grounded.. 787 iko Sawa... Emergency landing ni kitu cha kawaida na inafanyika kote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1066531
Hii ilitokea February 12 mwaka huu ila KQ walijaribu kuzima hiyo habari isienee.
Ndege yao aina ya Boeing 787 Dreamliner Iliyokuwa inaelekea Johannesburg, South Africa iliwaka moto injini ya kushoto ikalazimika kutua Dar kwa dharura.
========
- The aircraft, Boeing 787 Dreamliner, was en-route to Johannesburg, South Africa, from Nairobi
- It was, however, forced to land in Dar es Salaam when one of its engines burst into flame mid-air
- The pilots shut down the engine and safely landed the plane, saving lives of 152 people in total
- The national carrier initially indicated the emergence landing was as a result of mechanical problems
- Internal probe revealed airline's operations control centre did not provide necessary assistant during the emergency situation
PONGEZI KWA RUBANI !!!
You are a step away from being a witch, that bitterness,hate and bile is not healthyMbona haishangazi hii...Mindege chakavu, hata viti huwa zimeraruka raruka
Inaonyesha jinsi gani hujawahi hata panda ndege na mental image ya ndege ilivyo ndani uliyonayo ni sawa na Hecher za route ya mbagala- gerezaniMbona haishangazi hii...Mindege chakavu, hata viti huwa zimeraruka raruka
Sasa huyo mjeshi pembeni ya ndege anafanya nini hapo na silaha yake
Pure jealousy at play. Ethiopian aeroplane still making headlines for 'murder', Kenyan one just had an emergency landing. How Kenyan is more dangerous than the latter basing on this comparison is a wonder.
You can never hide anything from Kenyan media, now they are having to answer more questions than they would have have to in the first place.... Anyway, thanks to the experienced pilot who safely flew and landed the aircraft with one engine off.![]()
A Kenya Airways plane was forced to make an emergency landing in Dar es Salaam after one of its engines caught fire mid-air, thus avoiding a disaster.
All the 142 passengers and 10 crew members landed safely but the near-disaster has exposed the laxity at the national airline.
For instance, the duty manager at KQ’s Operations Control Centre, who should have assisted the crew in the event of such an emergency, did not have the plane’s flight plan.
PRECAUTION
In fact, he did not know the location of the plane, registration number 5Y-KZD, when he advised the pilot to return to the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).
KQ downplayed the February 12 incident involving a Boeing 787 Dreamliner en route to Johannesburg, South Africa, saying the plane’s flight deck only showed that there was an issue that made the pilots take precaution.
“The crew shut down the engine as per procedure and diverted to Dar es Salaam. Our engineers travelled to Dar es Salaam to assess the engine and determined that it needed to be changed,” CEO Sebastian Mikosz told the Nation at that time.
However, an internal investigative report by the airline’s safety office, a copy of which the Nation has obtained, says that the left engine caught fire, forcing the pilots to shut it down and ask for an emergency landing.
CLIMBING OUT
The plane had arrived in Nairobi from New York, US, at 7am as flight KQ 003. It was then deployed to OR-Tambo Airport at 1:05pm as flight KQ 762.
Hizi ndege zinaweza kusafiri wiki nzima bila kupumzika, KQ iko na Dreamliner 9 ikiwa mbili zimekodishwa Oman air na Turkish air (nafikiri), Kwa miaka miwili ambayo inaisha mwaka huu , miaka miwili iliopita ilikua hatuna kazi nazo sasa tunajikuta ndege hazitoshi ...hio ni kawaida Kwa hizi biashara za ndegesasa ndege imetoka US imepumzika masaa 5 tu mnairusha tena kwenda SA huo ni uhaba wa ndege ndio mnataka muangushe watu...akapande ET nafikiri wale wanarusha A350 which is the best than B787
Acha urongo KQ wana dreamliner 8 tu zikiwepo na izo zilizo kodishwa... hiyo ndege bwana ilitakiwa ipumzike walau 10 hrsHizi ndege zinaweza kusafiri wiki nzima bila kupumzika, KQ iko na Dreamliner 9 ikiwa mbili zimekodishwa Oman air na Turkish air (nafikiri), Kwa miaka miwili ambayo inaisha mwaka huu , miaka miwili iliopita ilikua hatuna kazi nazo sasa tunajikuta ndege hazitoshi ...hio ni kawaida Kwa hizi biashara za ndege
Tafadhali rekebisha, hizo mlizokodisha huko Oman na Turkish, what yo did was "subleasing", KQ dreamliners zote walizonazo sio zao, wamekodisha.Hizi ndege zinaweza kusafiri wiki nzima bila kupumzika, KQ iko na Dreamliner 9 ikiwa mbili zimekodishwa Oman air na Turkish air (nafikiri), Kwa miaka miwili ambayo inaisha mwaka huu , miaka miwili iliopita ilikua hatuna kazi nazo sasa tunajikuta ndege hazitoshi ...hio ni kawaida Kwa hizi biashara za ndege
Rekebisha mwenyewe, Hint: Tafuta 787-8 hapaTafadhali rekebisha, hizo mlizokodisha huko Oman na Turkish, what yo did was "subleasing", KQ dreamliners zote walizonazo sio zao, wamekodisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika ya hili Tangazo, na Bunge la Kenya, nani mwenye mamlaka na hali ya kujua Mali za serikali?Rekebisha mwenyewe, Hint: Tafuta 787-8 hapa
View attachment 1067827
Bunge hua haina info yoyote, bunge hu request info kutoka kwa serekali kupitia kwa mawaziri------ Mawaziri huitwa bungeni kuja kupeana ripoti kamili........Katika ya hili Tangazo, na Bunge la Kenya, nani mwenye mamlaka na hali ya kujua Mali za serikali?
Sent using Jamii Forums mobile app