Halafu ukute hujawahi panda hataWacha Watanzania waone ndege kwa mara ya kwanza.
Wewe umewahi kupanda ndege kweli?Mbona haishangazi hii...Mindege chakavu, hata viti huwa zimeraruka raruka
kwaiyo walitaka ije iwakie moto kwetu eboo wawe wanapeleka kisumu huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshakutambua kwa jina lakoHivi unadhani mimi Mtanzania au nini? [emoji23][emoji23]
Hivi unadhani mimi Mtanzania au nini? ππ
Usiogope mkuu injini zina mfumo wa fire exstinguisher ndani yake so moto ukiwaka tu pilot wanauzima fasta then wanatafuta the nearest airport swala jingine ni kwamba ndege inaweza kuluka na injini moja sema waliweka injini mbili kwasababu ya matatizo kama haya yakitokea zile kubwa wanafunga hadi injini nneNaanza kuogopa kupanda ndege kwa mfululizo wa hizi hitilafu
askari wa fire huyo wako pale kwa ajili ya hizo emergency landing na wana mafunzo yakutosha na magari ya kisasa mnoSasa huyo mjeshi pembeni ya ndege anafanya nini hapo na silaha yake
Hata hujui unachoongelea. Dreamliner ni ndogo chakavu na nzee? Sometimes kama hujui unyamaze ili kuficha ujuha wakoMbona haishangazi hii...Mindege chakavu, hata viti huwa zimeraruka raruka