Ndege ya Kenya Airways yatua Dar kwa dharura baada ya injini kuwaka moto!

Hata hujui unachoongelea. Dreamliner ni ndogo chakavu na nzee? Sometimes kama hujui unyamaze ili kuficha ujuha wako
Hii ni moja wapo ya zile ndege kenya walinyang'anya Tz wakati wakuvujika kwa muungano wa EAC 1977.. Bado li ndege hilo lipo kwa mkopo
 
Bricks and mortar engineer, ndiyo wewe ulikuwa ukiuliza mbona waTanzania hawakuwemo kwenye ile ndege iliyanguka Ethiopia.
Teh teh tihiii
Ngoja nikuache.
Tukauliana nawe wapi? Ng'ombe kama wewe niulizane nini nayo?
 
Hizo jet engine zinasemwa ndiyo za kisasa ila hazina usalama hata kidogo, usalama zaidi ni pangaboy tatizo ndiyo hivyo hazina kasi kuliko hizi za kisasa.

Engine hizo kitu kikipenya na kuingia humo ni tatizo
 

Nahisi hapo ndio walikosea yaan dude limetoka state ...safari ya masaa 15 inapumzika masaa 5 then wana liamsha kwenda SA ...hapo nahisi walichemka
 
Kwa hiyo mleta mada February 12 ulikuwa wapi, mpaka uilete hapa hii habari April 9??

Lengo ni lipi hasa?
 
Waacheni jamani ni majirani zetu hao,Jirani huyu angekuwa mkorofi kwetu tungeliibinafsisha iyo ndege,na hivi tulivyokuwa na uchu kwenye Atcl yetu basi kesho tungeliipangia routi ya Kilimanjaro na Mwanza
 
Nahisi hapo ndio walikosea yaan dude limetoka state ...safari ya masaa 15 inapumzika masaa 5 then wana liamsha kwenda SA ...hapo nahisi walichemka

Mkulu hilo dude ni uchakavu tu. Maana engine zake huwa zinaweza zikawa on 24/7.
Ndiyo zinazotumika kufua umeme.
 
Naanza kuogopa kupanda ndege kwa mfululizo wa hizi hitilafu
Mwaka jana tulikuwa tunatoka Hong kong to Manila kwa Cebu pacificair kilichotokea sitasahau

Sijui nini ndege ikawa inafail kupaa moshi mwingi ikaanza nilihisi ndo end of my life
 
Usipande KQ kapande ET ...... Angalau
Pure jealousy at play. Ethiopian aeroplane still making headlines for 'murder', Kenyan one just had an emergency landing. How Kenyan is more dangerous than the latter basing on this comparison is a wonder.
 
Hizo jet engine zinasemwa ndiyo za kisasa ila hazina usalama hata kidogo, usalama zaidi ni pangaboy tatizo ndiyo hivyo hazina kasi kuliko hizi za kisasa.

Engine hizo kitu kikipenya na kuingia humo ni tatizo
Kamwe hawatakubali.kurudi.kule watajifanya kuboresha tuu!! Maana biashara ya jet engine ni kubwa kuliko pangaboi
 
Na lile li F35A la Japan limepotelea baharini wanalitafuta...US anapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…