Ndege ya Kenya Airways yatua Dar kwa dharura baada ya injini kuwaka moto!

 
Pure jealousy at play. Ethiopian aeroplane still making headlines for 'murder', Kenyan one just had an emergency landing. How Kenyan is more dangerous than the latter basing on this comparison is a wonder.

sasa ndege imetoka US imepumzika masaa 5 tu mnairusha tena kwenda SA huo ni uhaba wa ndege ndio mnataka muangushe watu...akapande ET nafikiri wale wanarusha A350 which is the best than B787
 
You can never hide anything from Kenyan media, now they are having to answer more questions than they would have have to in the first place.... Anyway, thanks to the experienced pilot who safely flew and landed the aircraft with one engine off.
 
sasa ndege imetoka US imepumzika masaa 5 tu mnairusha tena kwenda SA huo ni uhaba wa ndege ndio mnataka muangushe watu...akapande ET nafikiri wale wanarusha A350 which is the best than B787
Hizi ndege zinaweza kusafiri wiki nzima bila kupumzika, KQ iko na Dreamliner 9 ikiwa mbili zimekodishwa Oman air na Turkish air (nafikiri), Kwa miaka miwili ambayo inaisha mwaka huu , miaka miwili iliopita ilikua hatuna kazi nazo sasa tunajikuta ndege hazitoshi ...hio ni kawaida Kwa hizi biashara za ndege
 
Acha urongo KQ wana dreamliner 8 tu zikiwepo na izo zilizo kodishwa... hiyo ndege bwana ilitakiwa ipumzike walau 10 hrs
 
Tafadhali rekebisha, hizo mlizokodisha huko Oman na Turkish, what yo did was "subleasing", KQ dreamliners zote walizonazo sio zao, wamekodisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika ya hili Tangazo, na Bunge la Kenya, nani mwenye mamlaka na hali ya kujua Mali za serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bunge hua haina info yoyote, bunge hu request info kutoka kwa serekali kupitia kwa mawaziri------ Mawaziri huitwa bungeni kuja kupeana ripoti kamili........

Anyway, Hebu niambie ni Nani ndani ya bunge la Kenya ndo alitangaza hayo unayosema???? Na alikua anaongea na nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…