Ndege ya Kwanza kutengenezwa Tanzania yazinduliwa

umeongea point mkuu hio sana
 
Watamuuzia nani?

Itategemea na aina ya ndege watazokuwa wanazalisha...

Zipo ndege tofauti kwa matumizi tofauti kuanzia za abiria (hizi wengi twazijua), patrol kwenye mbuga, usambazaji madawa mashambani, mafunzo ya urubani, utalii n.k...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…