ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia inazidi kuonesha na kutafsiri mafanikio ya sekta ya Viwanda Kwa vitendo.
Sasa ni zamu ya viwanda vya Kutengeneza ndege ambapo ndege ya Kwanza iliyoundwa ndani ya Nchi skyleader 600 imeoneshwa na kuzinduliwa rasmi kwenye maonesho ya wazalishajo wa bidhaa za viwandani yaani Tanzania international manufacturer expo Dar es Salaam.
My Take: Mafanikio haya ni ushindi mkubwa Kwa Rais Samia ambae Kila kukicha anatandika historia na kuacha alama.
Ikumbukwe kwamba Chuo Cha NIT kimeanza kufundishwa kozi za Urubani na uhandisi wa ndege na tayari Serikali imenunua ndege 6 za Mafunzo.
Haters wa Samia kina "Chadomo, Sukuma gang & Co Watanuna 😁😁😁😁" vumilieni mambo Bado huu ni mtori tuu nyama zinakuja.
===
View attachment 2779674
Ndege ya kwanza kutengenezwa Tanzania imetambulishwa rasmi na kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) ya mkoani Morogoro.
Ndege hiyo ilitambulishwa rasmi katika maonyesho ya kimataifa ya wazalishaji wa bidhaa za Viwandani Tanzania yajulikanayo kwa jina la Tanzania International Manufacturers Expo 2023 (TIMEXPO) yaliyomalizika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Bw David Grolig alisema kuwa uamuzi wa kuzalisha ndege hiyo umetokana na mazingira mazuri ya uwekezaji hapa nchini.
Bw Grolig alisema kuwa ndege hiyo aina ya Skyleader 600 ina uwezo wa kubeba abiria wawili (akiwemo rubani) na inakidhi mahitaji ya wafanyabiashara wanaosafiri umbali mrefu.
Alisema kuwa walifanya utafiti wa kina ili kuelewa mahitaji ya wafabiashara ambao mara nyingi hufanya safari za masafa marefu na kutumia muda mwingi njiani.
Alifafanua kuwa kutokana na utafiti huo, waliamua kutengeneza ndege itakayowawezesha wafanyabiashara kusafiri kwa urahisi zaidi na kuhudhuria mikutano mbalimbali nje ya mkoa kabla ya kurejea na kuendelea na shughuli nyingine.
“Tunajivunia kutengeneza ndege ya aina hii ambayo ni muhimu kwa wafanya kibiashara na watu binafsi. Huu ni mwanzo na mwakani tutatengeneza ndege nyingine aina ya Skyleader 500 ambayo ni muhimu kwa matumizi ya kilimo na shughuli zingine.
Ndege zote hizi ni matunda ya ubunifu wa wataalamu wetu wazawa na wa kigeni. Watalaamu wazawa wamepata mafunzo Jamhuri ya Czech na mipango ya kuendelea kutoa mafunzo inaendelea ili kuwa na wataalamu wengi zaidi,” alisema Bw Grolig.
Alisema kuwa umiliki wa ndege hiyo ni rahisi zaidi na wamefanya hivyo ili kuendeleza gurudumu la uchumi kwa Watanzania na wateja wao wan je ya nchi.
Kwa upande wake, Mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo, Bw. Igor Stratil, alisisitiza kuwa ndege hiyo Na.1 ni matokeo ya utaalamu wa pamoja ya timu ya Tanzania na Czech.
Bw Stratil alisema pia wamefurahi kushiriki katika maonyesho ya TIMEXPO na kuwa washindi wa jumla.
Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi na Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, na kushirikisha ambapo jumla ya washiriki 138 washiriki na wageni zaid ya 1,000 walikuwa wanatembelea kila siku.
Miongoni mwa waliohudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw Albert Chalamila, ambaye alifunga maonyesho hayo na kuwapongeza waandaaji na kampuni ya AAL kwa maendeleo ya sekta ya viwanda nchini.
Bw Chalamila alisema kuwa ubunifu wa kutengeneza ndege ni kichochea maendeleo ya teknolojia na nyenzo pekee ya kuvutia wawekezaji wengine na kuchangia ustawi wa jamii.
Kazi nzuri Sasa ni rasmi
View: https://x.com/swahilitimes/status/1841020797575373097?t=TYaPlRzuTWPpdGE9kLL3zA&s=19
Ona usivyo tofauti na hamas na hizbollah, huwazi jema, unawaza kuuwana tu, Godforbid!Mwanzo mzuri.
Nashauri jeshi wangeanza kuunda drones na missiles zetu wenyewe.
Ujuzi hata kwenye ntandao umejaa.
Majaribio kwa Kagame na Wakunya wakileta ujuwaji.
Ona usivyo tofauti na hamas na hizbollah, huwazi jema, unawaza kuuwana tu, Godforbid!
Wapi ulipoona neno kuuwa au kuuwana au kuuliwa?Ona usivyo tofauti na hamas na hizbollah, huwazi jema, unawaza kuuwana tu, Godforbid!
Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia inazidi kuonesha na kutafsiri mafanikio ya sekta ya Viwanda Kwa vitendo.
Sasa ni zamu ya viwanda vya Kutengeneza ndege ambapo ndege ya Kwanza iliyoundwa ndani ya Nchi skyleader 600 imeoneshwa na kuzinduliwa rasmi kwenye maonesho ya wazalishajo wa bidhaa za viwandani yaani Tanzania international manufacturer expo Dar es Salaam.
My Take: Mafanikio haya ni ushindi mkubwa Kwa Rais Samia ambae Kila kukicha anatandika historia na kuacha alama.
Ikumbukwe kwamba Chuo Cha NIT kimeanza kufundishwa kozi za Urubani na uhandisi wa ndege na tayari Serikali imenunua ndege 6 za Mafunzo.
Haters wa Samia kina "Chadomo, Sukuma gang & Co Watanuna 😁😁😁😁" vumilieni mambo Bado huu ni mtori tuu nyama zinakuja.
===
View attachment 2779674
Ndege ya kwanza kutengenezwa Tanzania imetambulishwa rasmi na kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) ya mkoani Morogoro.
Ndege hiyo ilitambulishwa rasmi katika maonyesho ya kimataifa ya wazalishaji wa bidhaa za Viwandani Tanzania yajulikanayo kwa jina la Tanzania International Manufacturers Expo 2023 (TIMEXPO) yaliyomalizika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Bw David Grolig alisema kuwa uamuzi wa kuzalisha ndege hiyo umetokana na mazingira mazuri ya uwekezaji hapa nchini.
Bw Grolig alisema kuwa ndege hiyo aina ya Skyleader 600 ina uwezo wa kubeba abiria wawili (akiwemo rubani) na inakidhi mahitaji ya wafanyabiashara wanaosafiri umbali mrefu.
Alisema kuwa walifanya utafiti wa kina ili kuelewa mahitaji ya wafabiashara ambao mara nyingi hufanya safari za masafa marefu na kutumia muda mwingi njiani.
Alifafanua kuwa kutokana na utafiti huo, waliamua kutengeneza ndege itakayowawezesha wafanyabiashara kusafiri kwa urahisi zaidi na kuhudhuria mikutano mbalimbali nje ya mkoa kabla ya kurejea na kuendelea na shughuli nyingine.
“Tunajivunia kutengeneza ndege ya aina hii ambayo ni muhimu kwa wafanya kibiashara na watu binafsi. Huu ni mwanzo na mwakani tutatengeneza ndege nyingine aina ya Skyleader 500 ambayo ni muhimu kwa matumizi ya kilimo na shughuli zingine.
Ndege zote hizi ni matunda ya ubunifu wa wataalamu wetu wazawa na wa kigeni. Watalaamu wazawa wamepata mafunzo Jamhuri ya Czech na mipango ya kuendelea kutoa mafunzo inaendelea ili kuwa na wataalamu wengi zaidi,” alisema Bw Grolig.
Alisema kuwa umiliki wa ndege hiyo ni rahisi zaidi na wamefanya hivyo ili kuendeleza gurudumu la uchumi kwa Watanzania na wateja wao wan je ya nchi.
Kwa upande wake, Mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo, Bw. Igor Stratil, alisisitiza kuwa ndege hiyo Na.1 ni matokeo ya utaalamu wa pamoja ya timu ya Tanzania na Czech.
Bw Stratil alisema pia wamefurahi kushiriki katika maonyesho ya TIMEXPO na kuwa washindi wa jumla.
Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi na Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, na kushirikisha ambapo jumla ya washiriki 138 washiriki na wageni zaid ya 1,000 walikuwa wanatembelea kila siku.
Miongoni mwa waliohudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw Albert Chalamila, ambaye alifunga maonyesho hayo na kuwapongeza waandaaji na kampuni ya AAL kwa maendeleo ya sekta ya viwanda nchini.
Bw Chalamila alisema kuwa ubunifu wa kutengeneza ndege ni kichochea maendeleo ya teknolojia na nyenzo pekee ya kuvutia wawekezaji wengine na kuchangia ustawi wa jamii.
Kazi nzuri Sasa ni rasmi
View: https://x.com/swahilitimes/status/1841020797575373097?t=TYaPlRzuTWPpdGE9kLL3zA&s=19
Tulizeni mshono sio ndege tuu Hadi kiwanda Cha kulinda meli kimeanza kujengwa Kila kitu kitapatikana hapa hapa Tanzania 🔥🔥🔥
View: https://twitter.com/east_facts/status/1712127708082082255?t=2iieZ4h3VW_oRu2NB0K-kw&s=19
Mama yako anacho?Hiyo si ndege bali kidege. Ulaya na Marekani vinatengenzwa uani kwa mtu
Mwenye ndege yeye kawekeza binafsi kwa pesa zakeMimi nashauri kwa nature ya nchi yetu tungejikita zaidi kwenye sayansi ya kupunguza changamoto kwenye kilimo na ufugaji. Tungebuni ka app cha kusaka masoko mazuri ya bidhaa za kilimo na ufugaji ili kuwafurusha madalali wanao wanyonya na kuwadidimiza wakulima na marumbesa yao.
Kwa nature ya nchi yetu tungewekeza huko naamini tatizo la ajira lingepungua sana na tungetengeneza mamilionea wengi. Huku kwengeni hatutoweza kucompete na makapuni makubwa badala yake tunaweza jikuta tunaingia hasara tu. Simaanishi kwamba haiwezekani ila kwa sasa bado sana.