Ndege ya Kwanza kutengenezwa Tanzania yazinduliwa


View: https://www.instagram.com/p/DAjjh6ZI3Db/?igsh=aG05OXd1ZWk0NGNk
 
Mwanzo mzuri.

Nashauri jeshi wangeanza kuunda drones na missiles zetu wenyewe.

Ujuzi hata kwenye mtandao umejaa.

Majaribio kwa Kagame na Wakunya wakileta ujuwaji.
 
Mwanzo mzuri.

Nashauri jeshi wangeanza kuunda drones na missiles zetu wenyewe.

Ujuzi hata kwenye ntandao umejaa.

Majaribio kwa Kagame na Wakunya wakileta ujuwaji.
Ona usivyo tofauti na hamas na hizbollah, huwazi jema, unawaza kuuwana tu, Godforbid!
 
Marais wa awamu zilizopita walikuwa wananunua nje ya nchi, Samia kaona zitengenezwe hapahapa.

Viva Samia
 
WangeIfanyia uzinduzi wa kumbeba MAMA kutoka Dar hadi Kizimkazi na kurudi!
 
Mwenye ndege yeye kawekeza binafsi kwa pesa zake

Na wewe huko unakuona kuna fursa si uwekexe upate pesa na wewe unamkodolea macho nani kama music aliyefiwa na mkwewe kuwa afanye hilo

Kafanye wewe.Porojo nyingii utafiiiri umelewa gongo.Hivyo ulivyoshauri kafanye wewe

Wa Ndege mwache na ndege zake.Yeye huko ndiko kaduna kachukua hatua kufanya.Na wewe huko ulikoona chukua hatua fanya vinginevyo huwezi shut up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…