Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Hata assembling nayo ni hatua. Dunia ya Leo sio sifa kufanya kila kitu mwenyewe, outsource kama kuna tija, kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.

Airbus inatengenezwa na nchi kadhaa Europe, not necessarily an Airbus subsidiary nyingi ni subcontract, kila nchi inaunda some parts na kuwa assembled France kama sikosei.

Nishafanya kazi kiwanda cha kutengeneza components zinazoenda Boeing usidhani Boeing anatengeneza kila kitu in-house. Hizo components zinakuwa designed, fabricated and tested pale pale Kabla ya kwenda Boeing.

Umeandika maelezo mengi ila hujajibu swali hata moja nililouliza...
 
Hongera sana Tanzania kwakuweza kuunda ndege ya watu watatu. Habari njema sana kwetu. Bado kuunda Bajaji, Bodaboda zetu, na guta. Mungu atupe wepesi.

Source. TRT AFRICA.


The first three aircraft manufactured in Tanzania have officially started flying amid hope for the East African country. The light aircraft, known as Skyleader 600, could herald a new era for the country's aviation industry, observers say.

Here are some key facts about them.
 

Attachments

  • 1728307851183.jpg
    1728307851183.jpg
    785.4 KB · Views: 3
  • 1728307845041.jpg
    1728307845041.jpg
    731.8 KB · Views: 3
  • 1728307851183.jpg
    1728307851183.jpg
    785.4 KB · Views: 3
  • 1728307836560.jpg
    1728307836560.jpg
    441.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom