Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Wanafanya assembly tu nimeiona hii habari kwenye the Citizen.

Ni mwanzo mzuri
Kwanin imeandikwa made in Tanzania acheni mawazo ya kinyonge ,chuma imesukwa hapa hata boeing wananunua parts kutoka makampuni mengine
 
Usalama wa ndege hata hizo wanapanda unathibitishwa na shirika la anga la kimataifa iwe air Tanzania au ndege ya raisi yeyote duniani iwe imetengenezwa locally au Internationally local brand au International brand

Usidhalilishe hiyo imetengenezwa locally ina International certification na leseni ya kuruka sawa tu ba ndege yeyote iwe ATCL, Kenya Airways au ndege ya raisi yeyote popote duniani

Mamlaka zilizoruhusu na kutoa hizo leseni hizo ndege ziruke ndizo zilizitoa hiyo leseni ndege za mtanzania mwenzetu ziruke

Sio kwamba zake ni inferior no zina viwango vya kimataifa
bado hujanielewa nikizungumzia usalama wa kiongozi wa nchi ndugu
 
Mzungu utaalamu amepata kutoka kwa Mwaarabu. Hesabu Amejifunza kwa Mwarabu.
Mbona huyo mwarabu teknolojia yake imebaki chini kulinganisha na ya mzungu?
Itoshe kusema hata maandiko yaani written language ilivumbuliwa na Wamisri(Waafrika), Sumerians(Waarabu) wachina ma Mayans.
Baada ya kugundua mmefika wapi wa hivi?

Kwa sasa hivi, Kipi mnachozidi mzungu kwenye teknolojia?
☝🏿
Na wewe unachoweza ni kutukuza Wazungu tu. Kwanini unahangaika hapa na Waafrika? Kwamba una huruma sana?
Na wewe kinacho kuuma nikitukuza wazungu ni nini?

Kwa nini unahangaika na waafrika?

Kwamba ndio una huruma sana na waafrika?
Hakuna kosa lelote lile, iwe kwa sheria or any moral ground kuwa mnafiki, chawa ama kujipendekeza kwa kwa Viongozi wetu.
Hata kwangu hakuna kosa lolote lile kuwasifia wazungu.
 
Kwani hujaona simu ya Samsung made in China cha ajabu nini mjinga wewe.
Fala wewe kuna sehemu nimeongelea wachina?

Nimekwambia hivi, Hiyo ndege hajatengeneza mtanzania.

Katengeneza mzungu akiwa Tanzania.
Kinachoongaliwa ni wapi cheap labour na materials waweza pata na mambo ya logistics nk

China bidhaa kibao brand za Ulaya na America ni made in China
Wewe utakuwa vile vichadema vijinga jinga havijui hata private sector inavyo operate halafu unakuta vinabweka ohh tunataka kushika nchi nyooo kwa upumbavu huo nani awape
Unaongeza vikolombwezo vyako ambayo hata sija viongelea.

Wewe mwehu nini?
Ikiwa made in Tanzania na inatengenezwa na wazungu shida nini? Kodi na ajira na pesa za kigeni twapata sisi vikiwa exported sababu ni resident company una akili wewe? Na hao mabwege wenzio wa Chadema.
Utaalamu ni wa mzungu sio wa wajinga kama wewe.

Mnachoweza nyie ni uchawa na kujipendekeza, Nyang'au wewe.
 
Fala wewe kuna sehemu nimeongelea wachina?

Nimekwambia hivi, Hiyo ndege hajatengeneza mtanzania.

Katengeneza mzungu akiwa Tanzania.

Unaongeza vikolombwezo vyako ambayo hata sija viongelea.

Wewe mwehu nini?

Utaalamu ni wa mzungu sio wa wajinga kama wewe.

Mnachoweza nyie ni uchawa na kujipendekeza, Nyang'au wewe.
Wewe mwenyewe bwege demokrasia tu unaiga ya wazungu chawa wa wazungu kwa kila kitu utafikiri ulizaliwa kichwani hakuna hata chembe ya ubongo kila kitu kuabudu na kusifu wazungu hivi mama yako hakukuzaa hata na chembe kidogo ya akili kichwani.Mpe pole mama yako kwa kuzaa jitu ambalo linaamini wazungu tu ndio wana akili copy ya pole melee baba yako kama unaye kama hukuokotwa jalalani kuwa humjui hata baba yako
 
Wewe mwenyewe bwege demokrasia tu unaiga ya wazungu chawa wa wazungu
Hata simu unayotumia hapa kuandika huu ushubwada wako ni ya huyohuyo mzungu.

Halafu unajifanya huigi na hutumii kitu chochote cha mzungu.
kwa kila kitu utafikiri ulizaliwa kichwani hakuna hata chembe ya ubongo kila kitu kuabudu na kusifu wazungu hivi mama yako hakukuzaa hata na chembe kidogo ya akili kichwani.Mpe pole mama yako kwa kuzaa jitu ambalo linaamini wazungu
Baba yako bora angemwaga mbegu zake chooni kuliko kuzaa litahira kama wewe ambaye teknolojia unatumia ya mzungu halafu unajifanya kwamba unaweza kila kitu pasipo hao
wazungu.

Nchi yako yenyewe inaishi kwa kutegemea misaada na mikopo ya haohao wazungu kukutengenezea wewe miundombinu.

Halafu wajinga kama wewe mkishakunywa wanzuki zenu huko vilabuni mnakuja hapa JF kuandika matapishi.

Wakati mnaishi kwa hisani ya wazungu.
tu ndio wana akili copy ya pole melee baba yako kama unaye kama hukuokotwa jalalani kuwa humjui hata baba yako
Kinyamkera wewe acha kutumia teknologia ya mzungu uone kama utaishi.

Acha kutumia hata hiyo simu halafu uunde vya kwako kama una huo uwezo.

Nincompoop.
 
Kila kitu

Kwa sasa hivi, Kipi mnachozidi mzungu kwenye teknolojia?
Waafrika ndio wanaoongoza kwenye maarifa na teknolojia ya Bio-degradable

Wazungu ndio kwanza wanajitafuta.

Teknolojia ya malipo kwa kutumia simu.

Tiba na Vifaa vya tiba n.k n.k
 
Mtoa hoja kuna vitu viwili hapa
a) Manufacturer
b) Assemble.

Sisi tymefanya assemble, acha kutupatia mafanikio ambayo hatustahili
Hata mahirika makubwa yanaassemble tu. Unakuta Engine ya Royce Rolls, kile cha Siemens, kile cha phillips . . . . nk nk. Unakuta maelfu ya makampuni kutoka nchi mbali mbali yamechangia vitu kuunda ndege moja.
 
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David Grolig, alisema ndege moja imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kama sehemu ya uzinduzi.
Grolig alithibitisha kuwa kampuni yao imepata kibali cha mamlaka husika baada ya kuthibitisha ubora wa ndege hizo, ambazo ni za kisasa na zina viwango vya kimataifa. Ndege hizi, zikiwa na uwezo wa kubeba abiria wawili pamoja na rubani, ni suluhisho bora la usafiri kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
AAL, kampuni ya kwanza Tanzania kutengeneza ndege za aina hii, imetengeneza ndege hizi kutokana na mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Gharama za kununua ndege hizo ni nafuu kama kumiliki gari. Ndege hizo pia zilioneshwa katika Maonyesho ya Watengenezaji wa Bidhaa ya Tanzania (TIMEXPO 2024) yanayoendelea katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ndege hiyo aina ya Skyleader 600,kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) kwa mara ya kwanza katika historia.
Yan Tanzania bado tuko nyuma kwa miaka 94 Yan hivi wenzetu mambo waliyofanya 1930 ndo tunafanya Leo 2024
 
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani na nje ya nchi.

Mkurugenzi wa AAL, Bw David Grolig amesema kuwa ndege moja kati ya hizo tatu imetua kwa mara ya kwanza kwenye uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ikiwa sehemu ya uzinduzi wa kuanza kufanya kazi.
Screenshot_20241003_073531_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom