zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Nionyeshe huo mbuyu ulioanza km mchicha hapoAta mbuyu ulianza kama mchicha! Hongereni sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nionyeshe huo mbuyu ulioanza km mchicha hapoAta mbuyu ulianza kama mchicha! Hongereni sanaa
Kwani hujaona simu ya Samsung made in China cha ajabu nini mjinga wewe.Unakataa ukweli kwamba wazungu ndio wametengeneza hiyo ndege?
Hiyo "Made in Tanzania" ni location tu, Lakini utaalamu wote ni wa mzungu na aliyetengeneza ni mzungu.
Mnachoweza watanzania wengi kama wewe ni unafiki, uchawa na kujipendekeza kwa viongozi wenu.
Na iwe ya kuchukua viongozi wa serikaliNAIPONGEZA SERIKALI KWA UJUMLA
usalama kwa vingozi ni muhimu nduguNa iwe ya kuchukua viongozi wa serikali
Unakataa ukweli kwamba wazungu ndio wametengeneza hiyo ndege?
Mzungu utaalamu amepata kutoka kwa Mwaarabu. Hesabu Amejifunza kwa Mwarabu.Hiyo "Made in Tanzania" ni location tu, Lakini utaalamu wote ni wa mzungu na aliyetengeneza ni mzungu.
☝🏿Mnachoweza watanzania wengi kama wewe ni unafiki, uchawa na kujipendekeza kwa viongozi wenu.
Hiyo ndege kwa sababu ni ya serikali iwachukue walioitengenezaNa iwe ya kuchukua viongozi wa serikali
Kupewa leseni ya ndege kuruka na shirika la anga la kimataifa unadhani ni kitu rahisi? Tatizo lako you are too local ni wale akina nilizaliwa Tanzania nitafia Tanzania na nikifa nizikeni Tanzania kijijini kwetu kwa ma mabibi na mababu hopeless kisa kaajira uchwara kalikokuwezesha kupata Kigali mtumba toka majalalani japanusalama kwa vingozi ni muhimu ndugu
Sio ya serikali ni kampuni binafsi imetengeneza na kupata vibali vyote kutoka shirika la anga la kimataifa kuwa ruksa kuruka kwenda popoteHiyo ndege kwa sababu ni ya serikali iwachukue walioitengeneza
nazungumzia usalama wa viongozi haya ya ungo yanakujaje hapaKupewa leseni ya ndege kuruka na shirika la anga la kimataifa unadhani ni kitu rahisi? Tatizo lako you are too local ni wale akina nilizaliwa Tanzania nitafia Tanzania na nikifa nizikeni Tanzania kijijini kwetu kwa ma mabibi na mababu hopeless kisa kaajira uchwara kalikokuwezesha kupata Kigali mtumba toka majalalani japan
Nje huko unaunda ndege yako hata nyumbani inapewa leseni kama yaweza kuwa vizuri kwa viwango vya kimataifa kuwa iruke
Exposure yako ndogo mno axha mambo ya hizo ndege tuongee wenye Exposure wewe ongelea mambo ya kuruka na ungo wa bibi yako
Hii mada kaa nayo mbal8 sio ya kiwango cha IQ yako
Acha dharura aiseeewwanatengeneza nn 😆🤣 hakuna mtz anaeweza kutengeneza ndege ujnja janja tu
cessina au cessna.I will one day fly a Cessina
I will one day own a Cessina
Bajaji Tsh 10M now. Ifike wakati sasa Serikali ilazimishe ujengaji wa viwanda vya kuAssemble kwa kuanzia boda na pikipikiHebu ona sasa! tumeweza Ndege lakini pikipiki hadi zitoke China.
Usalama wa ndege hata hizo wanapanda unathibitishwa na shirika la anga la kimataifa iwe air Tanzania au ndege ya raisi yeyote duniani iwe imetengenezwa locally au Internationally local brand au International brandnazungumzia usalama wa viongozi haya ya ungo yanakujaje hapa
Hata assembling sio kazi ndogo wanastahili pongeziMtoa hoja kuna vitu viwili hapa
a) Manufacturer
b) Assemble.
Sisi tymefanya assemble, acha kutupatia mafanikio ambayo hatustahili