Sina mkuu, ila sidhani hata hapa nchin kama chuo kingekuwepo hao Heslb wangeweza kutoa ufadhil, maana it's too expensiveConnection za huko unazo?. Maana HESLB haiwezi kukusomeshea huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mkuu, ila sidhani hata hapa nchin kama chuo kingekuwepo hao Heslb wangeweza kutoa ufadhil, maana it's too expensiveConnection za huko unazo?. Maana HESLB haiwezi kukusomeshea huko
Wawekezaji hawataki hilo wanataka sera za nchi ndizo zingatiwe kuwa hata akiwepo raisi huyu akija mwingine zinabaki stableKwa Tanzania hapa ni mtu?
Sema wewe ndie you are good for nothing meli kubwa ziwa Victoria zimejengwa na watanzania na watu wanapandaMimi hata kwa bure kabisa sipandi we are good in nothing.
Haikawii kutokea itilafu za kiufundi.
Taarifa inasema ndege ya kwanza kutengenezwa Tanzania. Haijasema iliyotengenezwa na Watanzania. Upo hapo??wwanatengeneza nn 😆🤣 hakuna mtz anaeweza kutengeneza ndege ujnja janja tu
Personal attack 😔 hunijui sikujui gafla unanilipukia yaan paka mtu anapata mshituko😅Sema wewe ndie you are good for nothing meli kubwa ziwa Victoria zimejengwa na watanzania na watu wanapanda
Wewe na hicho kigari chako used takataka kilichookotwa majalalani Japan ukauziwa wewe basi unajiona na wewe ka class fulani hivi ka juu na hilo gari lako takataka la jalalani japan
Mabasi mengi tu yamepata ajali kwa kutozingatia usalama maelfu yamewaua kwa hiyo huwa hupandi mabasi ?Personal attack 😔 hunijui sikujui gafla unanilipukia yaan paka mtu anapata mshituko😅
Mzee sijakukataza kupanda wewe nenda kapande kwa Raha na furaha Ila kwa tulio na walio wai kupoteza ndugu zao kwenye ajar za uzembe wa kutozingatia miongozo ya vyombo na kufanya service kwenye vyombo vyetu vya usafirishaji.
R.i.p akukweti, deo filikunjombe, Wilson mabeho, D.luchenja, pastory paschal, Boniface nyenye, D.odemba, chacha magani, masangu Damian, mcharo kazimiry, seif ramadhani, Fahad Ibrahim, Denis Oswald.
Wasalaam
✌️
wwanatengeneza nn 😆🤣 hakuna mtz anaeweza kutengeneza ndege ujnja janja tu
Uwe unashirikisha akili hapo umeona mtanzania yupi
USSR
Sema zimetengenezwa na wazungu waliopo Tanzania, Kwa kushirikiana na baadhi ya watanzania.
Assembled in Tanzania not made
👏👏👏🙏Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David Grolig, alisema ndege moja imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kama sehemu ya uzinduzi.
Grolig alithibitisha kuwa kampuni yao imepata kibali cha mamlaka husika baada ya kuthibitisha ubora wa ndege hizo, ambazo ni za kisasa na zina viwango vya kimataifa. Ndege hizi, zikiwa na uwezo wa kubeba abiria wawili pamoja na rubani, ni suluhisho bora la usafiri kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
AAL, kampuni ya kwanza Tanzania kutengeneza ndege za aina hii, imetengeneza ndege hizi kutokana na mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Gharama za kununua ndege hizo ni nafuu kama kumiliki gari. Ndege hizo pia zilioneshwa katika Maonyesho ya Watengenezaji wa Bidhaa ya Tanzania (TIMEXPO 2024) yanayoendelea katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ndege hiyo aina ya Skyleader 600,kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) kwa mara ya kwanza katika historia.
Nikikuwa nasoma chuo kimoja Proffessor mzungu nilikuwa kidogo mzito kuelewa somo hivyo nikawa namsumbua sana Proffessor kumuuliza ili nielewe sasa darasani kukawa kuna walia wajitia fast learners wakawa nikiuliza wananicheka sababu kwao wameshaelewaHebu waone hawa watu ambao kila siku wao ni kulalamika kuhusu Maendeleo Tanzania
Maendeleo madogo kama haya yametokea, lakini bado wanakandia Watanzania.
Kwani Unafkir Boeing wanafanya nini?Wanafanya assembly tu nimeiona hii habari kwenye the Citizen.
Ni mwanzo mzuri
Boeing pia wana assemble tofauti labda ni percentage tu kuwa asilimia ngapi sio ya ku assembleTofauti kuu kati ya kutengeneza na kuunganisha ndege ni kama ifuatavyo:
Kutengeneza Ndege (Manufacturing):
• Mchakato wa Kuanzia Mwanzo: Kutengeneza ndege kunahusisha mchakato mzima wa kubuni, kuunda, na kukusanya sehemu zote za ndege kutoka mwanzo.
• Uundaji wa Sehemu Mpya: Wahandisi na wafanyakazi huunda sehemu mpya za ndege, kuanzia miundo ya msingi hadi vifaa vya elektroniki na mitambo.
• Ujuzi wa Kina wa Uhandisi: Kutengeneza ndege kunahitaji ujuzi wa kina wa uhandisi wa anga, vifaa, na teknolojia ya utengenezaji.
• Mchakato Mrefu na Mgumu: Ni mchakato mrefu na mgumu unaohusisha hatua nyingi za udhibiti wa ubora na vipimo.
• Mfano: Kampuni kama Boeing na Airbus zinahusika na kutengeneza ndege.
Kuunganisha Ndege (Aircraft Assembly):
• Kukusanya Sehemu Zilizotengenezwa: Kuunganisha ndege kunahusisha kukusanya sehemu zilizotengenezwa tayari na kampuni zingine au viwanda.
• Uunganishaji wa Sehemu: Wafanyakazi huunganisha sehemu hizi pamoja, kufuata maagizo na miongozo kutoka kwa mtengenezaji wa awali.
• Ujuzi wa Mikono na Ufundi: Kuunganisha ndege kunahitaji ujuzi wa mikono na ufundi katika kukusanya na kuunganisha sehemu kwa usahihi.
• Mchakato Mfupi Kuliko Kutengeneza: Ni mchakato mfupi zaidi kuliko kutengeneza ndege, kwani sehemu nyingi tayari zimetengenezwa.
• Mfano: Kampuni za matengenezo ya ndege, au viwanda vidogo vinavyohusika na kukusanya sehemu za ndege kutoka kwa wauzaji mbalimbali.
Kwa kifupi:
Kutengeneza ndege ni kama kuunda keki kutoka mwanzo, kuanzia unga hadi mapambo. Kuunganisha ndege ni kama kukusanya keki kutoka kwa sehemu zilizotengenezwa tayari, kama vile keki, cream, na mapambo.
¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬°°¬°¬¬¬
Anayeunganisha ndege kwa kawaida hakuwa na hakimiliki ya ndege hiyo.
Hapa kuna sababu:
• Hakimiliki ya Muundo na Teknolojia: Hakimiliki ya muundo wa ndege, teknolojia, na michoro ya uhandisi kwa kawaida huwa mikononi mwa mtengenezaji wa awali (OEM - Original Equipment Manufacturer). Mtengenezaji huyu ndiye aliyewekeza katika kubuni, utafiti, na maendeleo ya ndege.
• Leseni na Mikataba: Anayeunganisha ndege kwa kawaida hufanya kazi chini ya leseni au mkataba kutoka kwa mtengenezaji wa awali. Leseni hii inamruhusu kuunganisha ndege kwa kufuata maagizo na viwango vilivyowekwa na mtengenezaji.
• Ubadilishaji mdogo: Hata kama anayeunganisha anafanya mabadiliko madogo kwenye muundo wa ndege, haimaanishi kuwa anapata hakimiliki ya muundo mzima. Mabadiliko hayo yanapaswa kuwa ndani ya mipaka iliyoruhusiwa na mtengenezaji wa awali.
Mfano:
Fikiria kampuni ya Boeing inatengeneza ndege ya 737. Kampuni nyingine, tuseme kampuni ya matengenezo ya ndege, inapewa leseni ya kuunganisha ndege hizi. Hata kama kampuni ya matengenezo inafanya mabadiliko madogo, kama vile kuongeza vifaa vya ziada, hakimiliki ya muundo wa ndege ya 737 bado inabaki kwa Boeing.
Hata hivyo, kuna uwezekano mdogo wa anayeunganisha kupata hakimiliki ya vipengele maalum:
• Ubunifu Mpya: Ikiwa anayeunganisha anaunda kipengele kipya cha ndege ambacho ni cha kipekee na kinachoweza kulindwa na hakimiliki, anaweza kupata hakimiliki ya kipengele hicho.
• Uboreshaji wa Kiufundi: Ikiwa anayeunganisha anafanya uboreshaji wa kiufundi ambao unachukuliwa kuwa uvumbuzi mpya, anaweza kupata hakimiliki ya uboreshaji huo.
Lakini kwa ujumla, hakimiliki ya ndege yenyewe inabaki mikononi mwa mtengenezaji wa awali.
.................................................
Acha kurukia vitu weweUmeandika kirefu lakini Boeing hawatengenezi injini za ndege wala tairi za ndege zao wala viti vya ndege zao wala TV zilizomo ndani ya ndege wala nyaya na taa za ndege na bulb zake
Iniiji za Boeing wananunua toka kampuni za kuunda injini za ndege aina zote hawaundi wao ni part wana assemble
Boeing does not exclusively use GE engines; they work with multiple engine manufacturers, including General Electric (GE), Rolls-Royce, and Pratt & Whitney, among others. Boeing selects engines based on various factors such as performance, efficiency, and suitability for specific aircraft models.
Hongera kwa Kufaulu kwanza.Nikikuwa nasoma chuo kimoja Proffessor mzungu nilikuwa kidogo mzito kuelewa somo hivyo nikawa namsumbua sana Proffessor kumuuliza ili nielewe sasa darasani kukawa kuna walia wajitia fast learners wakawa nikiuliza wananicheka sababu kwao wameshaelewa
Yule Proffessor siku hiyo aliwabadilikia siji kusahau akawafokea akasema mimi ndiye nafundisha na maswali ananiuliza mimi sio nyie to he'll with you Mwacheni aulize na ni kazi yangu kumjibu nimeajiriwa kwa kazi hiyo.Nilimaliza chuo nikiwa nimewabwaga mbali mno kwa ufaulu kwenye masomo yote
Humu ndani unakuta mtu anaponda mtu anayelala kwenye godoro wakati yeye analala chini
Mtu katengeneza ndege anayebeza hiyo ndege baba yake na mama yake na ukoo wake wote wametengeza nini cha maana?
Upumbavu mtupu.Mtu akipiga hatua kama hao wa ndege asifiwe sio kuzomewa