Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Tuseme Boeing anatumia vifaa vya makampuni mengine, kwa nini anakuwa ni hakimiliki ya muundaji na si muunganishaji?

JIBU

Boeing inakuwa mmiliki wa vifaa vinavyotengenezwa na makampuni mengine kwa sababu kadhaa:

1. Ununuzi na Umiliki: Wakati Boeing inanunua vifaa kutoka kwa kampuni nyingine, inafanya hivyo chini ya mkataba wa ununuzi. Mkataba huu hufafanua waziwazi kwamba umiliki wa vifaa huhamia kwa Boeing mara tu malipo yanapofanywa na vifaa vinapofikishwa.

2. Kazi ya Kuunganisha na Kuunganisha: Boeing haitengenezi tu ndege, lakini pia inachukua jukumu la kuunganisha vifaa vingi kutoka kwa vyanzo tofauti. Vifaa hivi vinakuwa sehemu muhimu ya muundo wa mwisho wa ndege, na hivyo Boeing inachukua umiliki wa muundo mzima na vipengele vyake.

3. Kuunganisha na Kubadilisha: Mara nyingi Boeing hupokea vifaa ambavyo haviko tayari kabisa kwa matumizi kwenye ndege. Boeing huvifanyia marekebisho, kubadilisha, na kuunganisha ili viweze kufanya kazi vyema katika mfumo wa ndege. Mchakato huu wa kubadilisha unaimarisha umiliki wa Boeing kwa vifaa hivyo.

4. Uunganisho na Uendeshaji: Boeing huendesha mfumo mzima wa ndege. Vifaa ambavyo inavinuia kutoka kwa kampuni nyingine vinakuwa sehemu muhimu ya mfumo huo. Kwa hiyo, Boeing inawajibika kwa uendeshaji na utendaji wa vifaa hivyo, na hivyo inachukua umiliki wao.

5. Udhamini na Dhima: Boeing inatoa dhamana kwa ndege zake. Hii inamaanisha kuwa inawajibika kwa utendaji na usalama wa ndege nzima, ikiwa ni pamoja na vifaa vilivyotengenezwa na makampuni mengine. Kwa hiyo, inachukua umiliki wa vifaa hivyo ili kuhakikisha kuwa inatimiza majukumu yake ya udhamini.

Mfano:

Fikiria Boeing inanunua injini kutoka kwa kampuni ya Rolls-Royce. Rolls-Royce inabaki mmiliki wa teknolojia na muundo wa injini, lakini mara tu Boeing inapolipa na kupokea injini, inakuwa mmiliki wa injini hiyo. Boeing inawajibika kwa ufungaji, matengenezo, na uendeshaji wa injini hiyo kama sehemu ya mfumo wa ndege.

Muhimu:

Ni muhimu kukumbuka kuwa Boeing inaweza kuwa na mikataba maalum na makampuni mengine ambayo yanaweza kuathiri umiliki wa vifaa. Kwa mfano, Boeing inaweza kuwa na makubaliano ya leseni na kampuni nyingine ambayo inaruhusu Boeing kutumia teknolojia ya kampuni hiyo kwa ajili ya utengenezaji wa ndege. Hata hivyo, kwa ujumla, ununuzi wa vifaa humaanisha kuwa Boeing inakuwa mmiliki wa vifaa hivyo.

Chatgpt .

Shotocan
 
Boeing pia wana assemble tofauti labda ni percentage tu kuwa asilimia ngapi sio ya ku assemble

Boeing hawatengenezi injini za ndege wala tairi za ndege zao ,wala viti vya ndege zao zike sofa , wala TV zilizomo ndani ya ndege wala nyaya na taa za ndege na bulb zake,wala nyaya za umeme au mifumo ya AC ndani ya ndege

Iniiji za Boeing wananunua toka kampuni za kuunda injini za ndege aina zote hawaundi wao ni part wana assemble

Boeing does not exclusively use GE engines; they work with multiple engine manufacturers, including General Electric (GE), Rolls-Royce, and Pratt & Whitney, among others. Boeing selects engines based on various factors such as performance, efficiency, and suitability for specific aircraft models.
 
Boeing hupokea vifaa ambavyo haviko tayari kabisa kwa matumizi kwenye ndege. Boeing huvifanyia marekebisho, kubadilisha, na kuunganisha ili viweze kufanya kazi vyema katika mfumo wa ndege. Mchakato huu wa kubadilisha unaimarisha umiliki wa Boeing kwa vifaa hivyo.
 
Sio kwenye injini tafadhali huko hawagusi waliyonunua wanapachika injini kama ilivyo
 
Sijaona "majaribio ya ndege iliyotengenezwa Tanzania" ingeanza hivyo then hatua nyingine.
 
Hongera kwao,mwanzo mzuri,

Kumbe ni Morogoro,

Nashauri siku ya ufunguzi,mgeni rasmi awe Afande Sele wa hapo Morogoro mji kasoro Bahari.
 
AAL, kampuni ya kwanza Tanzania kutengeneza ndege za aina hii, imetengeneza ndege hizi kutokana na mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Gharama za kununua ndege hizo ni nafuu kama kumiliki gari.
Kiwanda kipo sehemu gani huko Morogoro
 
injini zake zinaundwa hapohapo au wanaaagiza nje hapa kwetu wanatengeneza mabodi tu.!?
Hii concept ya assembly watanzania wengi hawajui

Ni ni kuwa viwanda vyote vya magari dunian au vya pikipiki ni Assembly plants yawe ya Japan uingereza,chins nk

Injini za magari na pikipiki ziko ambazo huunda injini tu na kuuza kwa yeyote anataka hata mtanzania viwanda vya tairi viko dunia nzima kazi zao kutengeneza tairi za aina zote ziwe za magari ,ndege au chochote,ukija nyaya za umeme ziko kampuni hutengeneza kila aina za nyaya za nyumbani,za magari za ndege nk

Ukija betri ziko pia za magari,za majambani,za ndege nk

Sasa kazi kwako ukianzisha kiwanda cha ku assemble ujue tu bidhaa ipi utaipata wapi assemble uza piga pesa
 
Sio kwenye injini tafadhali huko hawagusi waliyonunua wanapachika injini kama ilivyo

Boeing mara nyingi hufanya maboresho kwenye injini ambazo hununua kutoka kwa kampuni nyingine kama vile Rolls-Royce, Pratt & Whitney, au General Electric. Maboresho haya yanaweza kuwa ya aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na:

1. Kuunganisha na Mfumo wa Ndege:

• Kubadilisha na Kuunganisha: Boeing huhakikisha kuwa injini inafaa kikamilifu na mfumo mkuu wa ndege, ikiwa ni pamoja na mifumo ya umeme, mafuta, na kudhibiti. Hii inahusisha kukabiliana na vipimo na viunganisho ili kuhakikisha uoanifu.

• Ujumuishaji wa Udhibiti: Boeing huunganisha mfumo wa kudhibiti injini na mfumo wa kudhibiti ndege, ili marubani waweze kudhibiti injini kwa ufanisi na usalama.

• Ujumuishaji wa Mifumo ya Ufuatiliaji: Boeing huunganisha mifumo ya ufuatiliaji wa injini na mfumo wa ufuatiliaji wa ndege, ili kupata data muhimu kuhusu utendaji wa injini na kutabiri matengenezo.

2. Kuboresha Utendaji:

• Kuboresha Ufanisi wa Nishati: Boeing inaweza kufanya mabadiliko kwenye injini ili kuongeza ufanisi wa nishati, kupunguza matumizi ya mafuta, na kupunguza uzalishaji wa gesi chafu.

• Kuongeza Nguvu: Katika baadhi ya matukio, Boeing inaweza kuhitaji injini yenye nguvu zaidi ili kukidhi mahitaji ya ndege mpya.

• Kuboresha Uaminifu: Boeing inaweza kufanya mabadiliko ili kuongeza uaminifu wa injini, kupunguza uwezekano wa matatizo ya kiufundi, na kuongeza muda kati ya matengenezo.

3. Kukidhi Mahitaji ya Udhibiti:

• Kukidhi Viwango vya Usalama: Boeing huhakikisha kuwa injini inakidhi viwango vya usalama vya FAA (Federal Aviation Administration) na mamlaka nyingine za udhibiti.

• Kukidhi Mahitaji ya Kelele: Boeing inaweza kufanya mabadiliko ili kupunguza kelele zinazozalishwa na injini, kukidhi viwango vya kelele vya viwanja vya ndege.

• Kukidhi Mahitaji ya Uzalishaji: Boeing inaweza kufanya mabadiliko ili kupunguza uzalishaji wa gesi chafu kutoka kwa injini, kukidhi viwango vya mazingira.

Mfano:

Boeing inaweza kupokea injini kutoka kwa Rolls-Royce ambayo imeundwa kwa ajili ya matumizi ya jumla. Lakini, Boeing inaweza kufanya mabadiliko ili kuongeza ufanisi wa nishati wa injini hiyo ili iweze kuendana na mahitaji ya ndege mpya ya Boeing 787 Dreamliner.

Muhimu:

Ingawa Boeing hufanya mabadiliko kwenye injini, inafanya hivyo kwa kushirikiana na mtengenezaji wa injini. Mabadiliko haya yanapaswa kuendana na viwango vya mtengenezaji na kudumisha uaminifu na usalama wa injini.
 
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David Grolig, alisema ndege moja imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kama sehemu ya uzinduzi.
Grolig alithibitisha kuwa kampuni yao imepata kibali cha mamlaka husika baada ya kuthibitisha ubora wa ndege hizo, ambazo ni za kisasa na zina viwango vya kimataifa. Ndege hizi, zikiwa na uwezo wa kubeba abiria wawili pamoja na rubani, ni suluhisho bora la usafiri kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
AAL, kampuni ya kwanza Tanzania kutengeneza ndege za aina hii, imetengeneza ndege hizi kutokana na mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Gharama za kununua ndege hizo ni nafuu kama kumiliki gari. Ndege hizo pia zilioneshwa katika Maonyesho ya Watengenezaji wa Bidhaa ya Tanzania (TIMEXPO 2024) yanayoendelea katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ndege hiyo aina ya Skyleader 600,kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) kwa mara ya kwanza katika historia.
Ukweli ni kwamba ndege ya kwanza kutengenezwa Tanzania ilitengenezwa miaka ya 1970 na mmishenari mmoja wa RC aliyekuwa akifanya kazi Uwemba Hospital miaka hiyo, alitumia injini za pikipiki akairusha toka Uwemba hadi Njombe mjini, alipotua tu akaishia mikononi mwa Polisi na kuamriwa kuondoka nchini mara moja

Ndege zingine zimekuwa zikitengenezwa Kibidula Farm miaka ya 1990s, haya yote hayazungumzwi wala kuandikwa japo yamekuwepo hapa nchini
 
Hizi ndizo habari watanzania na vijana kwa sasa wanatakiwa kuona na wazifatilie siyo kila siku
Ni kuona na kuwasikia habari za wakata mauno tu na machawa
Labda bongo za watanganyika zinaweza kubadilika

Ova
 
Ukweli ni kwamba ndege ya kwanza kutengenezwa Tanzania ilitengenezwa miaka ya 1970 na mmishenari mmoja wa RC aliyekuwa akifanya kazi Uwemba Hospital miaka hiyo, alitumia injini za pikipiki akairusha toka Uwemba hadi Njombe mjini, alipotua tu akaishia mikononi mwa Polisi na kuamriwa kuondoka nchini mara moja

Ndege zingine zimekuwa zikitengenezwa Kibidula Farm miaka ya 1990s, haya yote hayazungumzwi wala kuandikwa japo yamekuwepo hapa nchini
Aise

Ova
 
Hii ndege ninashauri ianze kwa kumchukua bibi na ujumbe wake kwenda mikoani
 
Hebu waone hawa watu ambao kila siku wao ni kulalamika kuhusu Maendeleo Tanzania

Maendeleo madogo kama haya yametokea, lakini bado wanakandia Watanzania.

Muwa epuke kama ukoma. Hawatutakii mema na ni dhahiri wamejaa wivu.
Unakataa ukweli kwamba wazungu ndio wametengeneza hiyo ndege?

Hiyo "Made in Tanzania" ni location tu, Lakini utaalamu wote ni wa mzungu na aliyetengeneza ni mzungu.

Mnachoweza watanzania wengi kama wewe ni unafiki, uchawa na kujipendekeza kwa viongozi wenu.
 
Unaona
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David Grolig, alisema ndege moja imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kama sehemu ya uzinduzi.
Grolig alithibitisha kuwa kampuni yao imepata kibali cha mamlaka husika baada ya kuthibitisha ubora wa ndege hizo, ambazo ni za kisasa na zina viwango vya kimataifa. Ndege hizi, zikiwa na uwezo wa kubeba abiria wawili pamoja na rubani, ni suluhisho bora la usafiri kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
AAL, kampuni ya kwanza Tanzania kutengeneza ndege za aina hii, imetengeneza ndege hizi kutokana na mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Gharama za kununua ndege hizo ni nafuu kama kumiliki gari. Ndege hizo pia zilioneshwa katika Maonyesho ya Watengenezaji wa Bidhaa ya Tanzania (TIMEXPO 2024) yanayoendelea katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ndege hiyo aina ya Skyleader 600,kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) kwa mara ya kwanza katika historia.
Ngozi nyeupe bado unakaza fuvu kusema watanzania , yaan Bora private company hapa Tanzania lakini bado viongozi watafanya juhudi kuzididimiza wakati zimeajili watanzania ambao serikali imeshidwa kuwapa ajira .
 
Back
Top Bottom