Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

20240922_083509.jpg

Mmmmmmh
 
Napenda kujua yafuatayo:

1. Je, ndege hii ilibuniwa(Designed) na watanzania? Au ni existing design ya muda mrefu?
2. Je, vifaa vya kuundia ndege vimetengenezwa Tanzania? Au tumeAssemble tu?
3. Je, kampuni iliyotengeneza inamilikiwa na watanzania?

Ahsante..

Hata assembling nayo ni hatua. Dunia ya Leo sio sifa kufanya kila kitu mwenyewe, outsource kama kuna tija, kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.

Airbus inatengenezwa na nchi kadhaa Europe, not necessarily an Airbus subsidiary nyingi ni subcontract, kila nchi inaunda some parts na kuwa assembled France kama sikosei.

Nishafanya kazi kiwanda cha kutengeneza components zinazoenda Boeing usidhani Boeing anatengeneza kila kitu in-house. Hizo components zinakuwa designed, fabricated and tested pale pale Kabla ya kwenda Boeing.
 
Back
Top Bottom