Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Gharama za maisha zipo juu sana wanaonufaika ni Wana siasa tu.
 
Kuna mambo mengi watanzania hamyaelewi.
 
Madeni wamelipa lakini? Au ndiyo wananunua ndege zinaishia kukamatwa tu?
 
Nyabukika hebu toa ufafanuz zaid juu ya madai yako ili ueleweke zaid humu!!
 
Huku anaongeza ndege huku wahuni wako njiani kuuza ndege moja kwa kisingizio cha deni la mzungu mzoefu kuibia hela tanzania. Inaelekea Jpm alimthibiti huyu tapeli anayeamini ni lazima apore mabilioni ya hela kutoka tanzania
 
Tunahitaji hizi ndege walau 4 kwa kuanzia.

Kuwa na exit ways zetu zitasaidia sana kufikia masoko bila kupitapita kwa majirani.

Hapa lazima export ikue sana.
 
Mbona hii ndege ilikuwa imetolewa tenda enzi za jpm mama alishawambia hataki kubambikizwa sifa ambazo sio zake.
Nakumbuka siku ya madhimisho duniani mboye alimwambia mama Chawa sio watu wazuri kwa sababu hizhzi
 
Hizo ndege zilinunuliwa na JPM.
Achana na hizi fikra. ATC ni ya nchi. Mipango inaweza kuwepo awamu ya pili ikatekelezwa awamu ya sita. Uongozi wa nchi si mtu. JPM alikuwa Rai wa nchi si John. Nadhani umenielewa. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Achana na hizi fikra. ATC ni ya nchi. Mipango inaweza kuwepo awamu ya pili ikatekelezwa awamu ya sita. Uongozi wa nchi si mtu. JPM alikuwa Rai wa nchi si John. Nadhani umenielewa. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hivi ile iliyokuwa inabeba nyama ya mbuzi iko wqpi ?
 
Si nasikia mengine yamelala yoo sasa mnaongezea mengine ya nini wakati uwezo wa kuyatunza hamna
 
Tatizo hawajui bei ya soko wataaanza kuweka bei zisizo na uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…