MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 924
- 1,096
Mbona hii ndege ilikuwa imetolewa tenda enzi za jpm mama alishawambia hataki kubambikizwa sifa ambazo sio zake.
Nakumbuka siku ya madhimisho duniani mboye alimwambia mama Chawa sio watu wazuri kwa sababu hizhzi
Tunamshukuru sana kwa hili ila tatizo waliomzunguka wengi hawamu hii ni wapigaji,tunahofu wanaweza anza tena kupakia twiga na Ata tembo.Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
Kwa heshima ya Kigoma hii imepewa jina Lake Tanganyika.iandikwe "kazi iendelee"
nyengine iandikwe "Nungwi" au chewa
Kulikuwa na awamu ya kipigaji kama ile awamu ya tano kwa wachache wasiojua hata maana ya Biashara mwishoni wakajikuta wanaficha hela chumbani..?Tunamshukuru sana kwa hili ila tatizo waliomzunguka wengi hawamu hii ni wapigaji,tunahofu wanaweza anza tena kupakia twiga na Ata tembo.
Ulikuwa haujazaliwa wakati Tanzania inatoka kwenye mikono ya Kikwete so hujui lolote.Kulikuwa na awamu ya kipigaji kama ile awamu ya tano kwa wachache wasiojua hata maana ya Biashara mwishoni wakajikuta wanaficha hela chumbani..?
Liko wapi sasa hata picha hunaNdege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
Tushapigwa hela tayari!Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
Siyo "Pochi la mama limefunguka?Iandikwe "kazi iendelee"
Nyingine iandikwe "Nungwi" au chewa
Zilinunuliwa na serikali ya JMT kwa kutumia kodi zetu.Hizo ndege zilinunuliwa na JPM.
Zilinunuliwa na serikali ya JMT kwa kutumia kodi zetu.Wanafikiri tumesahau aisee.
Zilinunuliwa na serikali ya JMT kwa kutumia kodi zetu.Ni kweli hiyo ilikuwa kwenye ahadi za JPM kipindi anafungua Bunge na Samia akiendeleza baada ya mwaka mmoja
Zilinunuliwa na serikali ya JMT kwa kutumia kodi zetu.Huu ni ukweli wasioweza kuusema
Bora tu ubakie na kampeni yako ya kukataa ndoa maana akili huna.Zilinunuliwa na serikali ya JMT kwa kutumia kodi zetu.
Kwa uchambuz wa akili yako kipi alifany maguful kilichosababisha maisha yawe magumu kipind hiki?Ungekuwa umeshapata akili miaka ya 1979/80 ukashuhudia matokeo ya vita ile ya 78/79, leo ungeweza kutambua kuwa maisha magumu ya wakati huu ni matokeo ya utawal mbovu wa miaka mitano ya magufuli
.
Kwaio za abiria hazina uhitaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kwamba ukitak kwenda huko unakopeleka mizigo utapanda hio cargoMama ananua ndege zenye mahitaji. Tunahitaji ndege za mizigo kusafirisha matunda, mbogamboga, nyama pamoja na malighafi nyingine.
Hakika wew ni #KAFISADI Kadogo kadogo [emoji23]Tena kipindi cha Magu maisha yalikuwa magumu sana kuliko haya ya leo maana unaweza kununua bidhaa yako mahali popote bila vizuizi vyovyote kutoka mamlaka yoyote.