Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Mbona hii ndege ilikuwa imetolewa tenda enzi za jpm mama alishawambia hataki kubambikizwa sifa ambazo sio zake.
Nakumbuka siku ya madhimisho duniani mboye alimwambia mama Chawa sio watu wazuri kwa sababu hizhzi

Tumekusikia House Girl wa JPM
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104
Tunamshukuru sana kwa hili ila tatizo waliomzunguka wengi hawamu hii ni wapigaji,tunahofu wanaweza anza tena kupakia twiga na Ata tembo.
 
Kulikuwa na awamu ya kipigaji kama ile awamu ya tano kwa wachache wasiojua hata maana ya Biashara mwishoni wakajikuta wanaficha hela chumbani..?
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
Liko wapi sasa hata picha huna

USSR
 
Lile airbus mpaka leo lipo parking engine chali, hilo nalo lisijeleta hali hiyo
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104
Tushapigwa hela tayari!
Hongereni viongozi wetu🙏☹️
 
.....tumepigwa nil 80 bei imepandishwa mara dufu ....bado tunashangilia
 
Ungekuwa umeshapata akili miaka ya 1979/80 ukashuhudia matokeo ya vita ile ya 78/79, leo ungeweza kutambua kuwa maisha magumu ya wakati huu ni matokeo ya utawal mbovu wa miaka mitano ya magufuli
.
Kwa uchambuz wa akili yako kipi alifany maguful kilichosababisha maisha yawe magumu kipind hiki?
 
Mama ananua ndege zenye mahitaji. Tunahitaji ndege za mizigo kusafirisha matunda, mbogamboga, nyama pamoja na malighafi nyingine.
Kwaio za abiria hazina uhitaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kwamba ukitak kwenda huko unakopeleka mizigo utapanda hio cargo
 
Ehh Mola wetu wewe ndio uwezaye yote katika Dunia hii na Anga yote nakusihi na tuna kuomba utusngalie nchi yetu Tanzania [emoji1241] na utuhurumie kwa ajili ya watu wanayo ihujumu nchi yetu Tanzania [emoji1241][emoji31][emoji31][emoji31] tuhurumie ehh Mwenye Enzi Mungu mkuu maana sasa ina tosha uwiii ehh [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom