Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Wakati wa JPM hizo pesa za kununulia walitoa wap? Mbona mnafanya kama vile JPM na Samia ni marais wa Nchi mbili tofaut na kichama?
Pesa ni kodi za wananchi. Nyinyi ndio mnasemaga ooo JPM alipiga mapesa ya pre bagairning kumbe ndega barabara mmeziona.
 
Kamwe siwez sema ni kaz ya ziada au kusifia cz huo ni wajibu wake kama kiongoz!! Cjawah kua na akili mgando kama hiz za kusifia kiongoz akitekeleza wajibu wake!!!
 
Umakini wapi iende isije kamatwa.hata hii taarifa SI njema,wasije wakaiwahi hukohuko kabla haijafika bongo
 
Pesa ni kodi za wananchi. Nyinyi ndio mnasemaga ooo JPM alipiga mapesa ya pre bagairning kumbe ndega barabara mmeziona.
Nionyeshe thread au comments zang nilizosema hiyo taarifa!! Mi sio kichwa cha mwendawazimu kuropoka kishabiki.
 
Kamwe siwez sema ni kaz ya ziada au kusifia cz huo ni wajibu wake kama kiongoz!! Cjawah kua na akili mgando kama hiz za kusifia kiongoz akitekeleza wajibu wake!!!

Kwahiyo umekosa akili kidogo tu ya kujua kwamba manunuzi ya hizo ndege yalifanyika katika era ya utawala wa huyo mnaemuita dikteta?

Mnalazimisha nini ili ionekane kuwa manunuzi hayo ni utekelezaji wa mama yenu?
 
Dunia tunapita ee kila kitu kitabakia,binadamu ni mchanga
Nani kakwambia eti binadamu ni mchanga! Si tungekuwa tunamomonyoka Sasa as we walk. Binadamu ameumba kwa nyama Wala siyo mchanga
 
Kwahiyo umekosa akili kidogo tu ya kujua kwamba manunuzi ya hizo ndege yalifanyika katika era ya utawala wa huyo mnaemuita dikteta?

Mnalazimisha nini ili ionekane kuwa manunuzi hayo ni utekelezaji wa mama yenu?
Mac unaweza ukawa unajua kua hujui then ukajiamin kua unajua!! Hakuna sehem yoyote nimesifia utawala huu kwa kununua ndege!! Point yang ni kua ndege zimenunuliwa na viongoz wa CCM kupitia kodi za watanzania!! That's ma point, sio kubeza utawala uliopo wakat wote ni CCM na pesa ni kodi za watanzania!! Tatizo liko wap.
 
Maisha ni safari maisha ya mwanadamu
Nani kakwambia eti binadamu ni mchanga! Si tungekuwa tunamomonyoka Sasa as we walk. Binadamu ameumba kwa nyama Wala siyo mchanga
 
Nafikiri tumeelewana sasa.

Ulinishitua ulipodai (kwenye comment) ili kuthibitisha kuwa manunuzi ya ndege hizo yalifanyika katika era ya utawala uliopita, basi ni lazima uonyeshwe sehemu ya mshahara wa yule mtalawa iliyotoka kununua hizo ndege.

Kwa point hiyo, ilinibidi kuhoji juu ya uelewa wako, maana haiwezi kutolewa na mtu anaejitambua.

Uwe na mchana mwema comrade.
 
JPM hakukopa alitoa humu humu nchini kwa mafisadi
Hapa ndipo narudia tena kusema walinda legacy wengi humu hoja na facts ni tatizo, kuna cku nilishaur kiongoz wenu wa legacy angewapiga msasa ili muwe mnakuja na hoja za msingi!! Imagine mtu anakwambia ndege zilinunuliwa kutokana na pesa za mafisad 🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna cha kulinda legacy mkuu siku hizi kuna ile style ya kumtaja kiongozi yeye kama yeye na sio serikali kwa ujumla. Mfano hapo juu mleta mada kamsifia Mama samia na sio taasisi husika. Na kilichokuuma wewe mpaka kutoa povu ni kutajwa jina JPM. Maana comments zinazomsifia mama kwa kununua ndege haujazikurupukia kuzimwagia mapovu
 
Nimeuliza kuhusu kutoa pesa za mshahara wake cz mnabeza san wengine na kusifia san wengine kana kwamba pesa zilikua personal!! JPM alikua CCM Samia ni CCM na ilani yao ni ileile!!
 
Hua naingia humu kupinga upotoshaji, that's why sijawah msifia Samia wala JPM kwasababu wanatekeleza wajibu wao uliowapeleka ikulu!!
 
Kwa muonekano humu umeingia kumwaga povu kwa kila comments zinazomtaja JPM
Hua naingia humu kupinga upotoshaji, that's why sijawah msifia Samia wala JPM kwasababu wanatekeleza wajibu wao uliowapeleka ikulu!!
 
Nimeuliza kuhusu kutoa pesa za mshahara wake cz mnabeza san wengine na kusifia san wengine kana kwamba pesa zilikua personal!! JPM alikua CCM Samia ni CCM na ilani yao ni ileile!!

Unadai kuwa hauwezi kusifia yoyote kwakuwa wanatekeleza waliichotumwa ikulu, hilo siwezi kukupangia.

Kwanini utekelezaji huo (kuhusu mada tajwa) ambao kimsingi ulifanywa na JPM uhamishiwe kwa SHH?

Mtu atakuwa sawa kudai kuwa yaliyotekelezwa na JK katika era ya utawala wake, kuwa yalitekelezwa na JPM?

Jitahidini sana msiongozwe na chuki hata kama hamkuwahi kumkubali JPM, mnaonekana wajinga kitu ambacho si chema kwa mtoto wa kiume.
 
Mbona daraja la kigamboni mnasema kajenga Magufuri?Barabara ya Dodoma Iringa mnasema kajenga Magufuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…