Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

Inakuwaje ishindwe kutua Dodoma lakini ikaja kutua Dar? Logic ni nini kurudi dar na kutua? why isitue huko huko dom?
Breki za ndege ni injini zake, injini moja inapofail ni kuwa uwezo wa kusimama haraka unapungua...walirudi Dar kwakuwa uwanja ni mrefu hivyo inawahi kusimama kabla hamjafika ukutani....ingetua Dom ingesimamia Kisasa!!!
 
Kwa waliokuwa uwanjani wanasema Ndege ilirudi uwanjani Dar baada ya kama Lisaa na dkk 10 (return) inamaana ilitembea kama dkk 35 hivi ikarudi Dar sawa na makadirio ya kms 100 hivi kutoka Dar. Ingekuwa ni gari tungesema lilikuwa hapo Chalinze; hivyo sio kweli kwamba ilikaribia Dodoma. Kwa maana hiyo Dar ndipo palikuwa karibu sana ukilinganisha na kwenda Dodoma
 
Yani engine inazima at landing approach afu pilot anaabort afu anageuza anarudi alipotoka? [emoji23]... sounds like bs [emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maelezo yanamake sense, ningekua moderator ningeiweka hii comment juu kabisa iwasaidie watu kuelewa.

Bottom line ni ndege haikufika dodoma. Mahali ilipokua ilikua ni karibu zaidi kurudi dar kuliko kwenda dodoma ikiwa na engine moja, so ikageuza na kurudi.

Huyu aliyeandika imeshindwa kutua dodoma na kurudi dar ametuchanganya sana.
 
Breki za ndege ni injini zake, injini moja inapofail ni kuwa uwezo wa kusimama haraka unapungua...walirudi Dar kwakuwa uwanja ni mrefu hivyo inawahi kusimama kabla hamjafika ukutani....ingetua Dom ingesimamia Kisasa!!!
Bora wewe umeongea jambo.
 
Hitilafu kidg ndege mpaka irudi jkni bas usafiri huu kwa tz ni majanga
Wajitahidi waboreshe viwanja
 
Breki za ndege ni injini zake, injini moja inapofail ni kuwa uwezo wa kusimama haraka unapungua...walirudi Dar kwakuwa uwanja ni mrefu hivyo inawahi kusimama kabla hamjafika ukutani....ingetua Dom ingesimamia Kisasa!!!
Hapana asee... ATR (ambayo ndio ndege precision wanatumia) hazitumiag reverse thrust muda wa kutua. Brake za ndege hua zipo kwenye matair kama kawaida na pia kwenye mabawa, zinaitwa flaps! Ndege nyingi kubwa zina reverse thrust,...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…