Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

Hizo ngoma shida nini watu AME inapaswa wajitathimini kwasababu hatukatai chombo kuwa na mechanical au electrical malfunction hasa katika mifumo ya engines au hydraulic maana inaanza kuwa kila mara.
Imeshindwa kutua Dodoma kisa engine m9ja imezima, kwani Dar imetuaje na engine moja?

Usikute ni hujuma tu..!!
 
"Hanger" aka Gereji ya Ndege ipo Dar, kwahiyo Rubani hawezi kuacha "Dege bovu" dodoma kwa maana gharama ya kulikarabati inaweza kuwa sawa na kuiza kama angeiacha huko Dodoma. Halafu pia kama Rubani amejiridhisha kuxhukua uamuzi huo inakubalika ulimwenguni kote..
Ndege inaweza kuruka na kutua kwa kutumia engine moja kiwanja chochote chenye urefu unaokubarika
 
Nadhani inabidi waende wakope ndege mpya hizi za zamani waziweke chini,
si tuliambiwa magu alitakiwa kukopa ndege badala ya kulipa cash?
sasa na hawa maadam ni wafanya biashara watakopeshwa tuu,ili tusicheze na uhai wa binadamu wenzetu
 
Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
---

Taarifa ya tukio hilo imeelezwa na moja ya abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo, ambaye ni Naibu Meya wa Kinondoni, Joseph Rwegasira Samson, ambapo ameeleza kuwa wanashukuru Mungu, wamefanikiwa kutua salama kwenye uwanja ndege wa Dar es Salaam, ikiwa inatumia injini moja.

PIA SOMA
- Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

Credit: ITV
Hawa ndege zao zimechoka au hawafanyi service vizuri. Hadi waue tena watu kwa ajali ndio hatua sahihi itachukuliwa dhifi yao
 
Na Dar ilifikaje wakati injini ilizima?

Toa maelezo ya kina
Asante mkuu nilikuwa natafuta jibu hili asante Kwa kunisaidia.Ndege itoke dar mpaka dodoma ishindwe kutua Kwa sababu engine ilikuwa Ina hitilafi irudi dar ikiwa na engine hiyo hiyo mbovu ishushe aboria warudi makwao.Are they serious?Wawarudishie nauli zao.Wapiuzi wakubwa.
 
Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
---
Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.

Taarifa ya tukio hilo imeelezwa na moja ya abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo, ambaye ni Naibu Meya wa Kinondoni, Joseph Rwegasira Samson, ambapo ameeleza kuwa wanashukuru Mungu, wamefanikiwa kutua salama kwenye uwanja ndege wa Dar es Salaam, ikiwa inatumia injini moja.

PIA SOMA
- Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

Credit: ITV
Cc: TPDC , Pura na ewura wanapendelea kusafirisha wafanyakazi wao na shirika hili, waache Mara moja
 
Asante mkuu nilikuwa natafuta jibu hili asante Kwa kunisaidia.Ndege itoke dar mpaka dodoma ishindwe kutua Kwa sababu engine ilikuwa Ina hitilafi irudi dar ikiwa na engine hiyo hiyo mbovu ishushe aboria warudi makwao.Are they serious?Wawarudishie nauli zao.Wapiuzi wakubwa.
Akili zako hazina akili
 
[emoji848]
520573071.jpg
 
Ifike mahali Serikali isitishe hizi ndege kuendelea kutoa huduma hadi ukaguzi wa kina dhidi yake ufanyike sio hadi kungojea maafa yatokee waje na ngojera zao zingine za kina Majaliwa

Na kingine kinachonifikirisha ni kwamba kama iliweza kusafiri kurudi Dar kutokea Dodoma ilishindwaje kutua hapo Dodoma,na huko Dar ilituaje sasa au huko huko hewani injini ilikaa fresh tena?,😜😜😜
 
"Ndege ililazimika kutua JKNIA kwa sababu uwanja wa karibu ulikuwa ni wa Dar kwa mda huo na si Dodoma kama taarifa inavyoeleza". By Hirary Mlemi, meneja masoko na mawasiliano Precision Air.

Sehemu ya nukuu.
 
Mzee shirima sasa ni wakati wa kuuza hiyo kampuni kwa mwekezaji mwingine urudi useri ukale pension.
 
Ifike mahali Serikali isitishe hizi ndege kuendelea kutoa huduma hadi ukaguzi wa kina dhidi yake ufanyike sio hadi kungojea maafa yatokee waje na ngojera zao zingine za kina Majaliwa

Na kingine kinachonifikirisha ni kwamba kama iliweza kusafiri kurudi Dar kutokea Dodoma ilishindwaje kutua hapo Dodoma,na huko Dar ilituaje sasa au huko huko hewani injini ilikaa fresh tena?,😜😜😜
1. Dar angalau kuna BAHARI likizingua captain anajikataa huko.
2. Dar Kuna vifaa japo vichache vya kuokoa hata wale warembo wetu wa kichaga
 
Back
Top Bottom