Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

#HABARI: Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
Mimi sijaelewa inashindwaje kutua kisa engine mbovu ila ikaweza kurudi Dar kwa Engine hivohivo
 
#HABARI: Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
Dar ilikorudi imetuaje?
Imefikaje huko dar engine moja ikiwa imezima
 
Inakuwaje ishindwe kutua Dodoma lakini ikaja kutua Dar? Logic ni nini kurudi dar na kutua? why isitue huko huko dom?
Majungu ya mleta mada. Hitilafu ikitokea kwenye injini ndege inatafuta uwanja wa karibu inatua' sasa hii ikaacha wa karibu inarudi ilikotoka, labda aseme ndio ilikuwa inaanza kuruka kwenda dodoma itabidi igeuze lakini sio imeshindwa kutua dodoma
 
Source
1676459986947.jpg
 
Back
Top Bottom