Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadoVipi washatua!!??
Inawezekana huyu dogo wa kutoka ubeberuni asingewaambia abiria wa kibongo kuwa injini moja imezima rubani angeforce kulifikisha dude DarHofu ilianza kutokea baada ya abiria mmoja, kijana wa kizungu, kuanza kupiga kelele, akiwaeleza wenzake waliokuwa wameketi jirani, kwamba injini imezima.
Mbona hiyo kawaida sana.View attachment 2306678
Abiria ndani ya ndege ya Kampuni ya Precision, jana waliingiwa na hofu ya usalama wao baada ya injini moja kuzima ikiwa angani.
Ndege hiyo yenye namba PW 467 ikitokea Kahama, ikielekea Dar es Salaam kupitia Mwanza, ilizima injini baada ya dakika 51 kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Mwanza.
Hofu ilianza kutokea baada ya abiria mmoja, kijana wa kizungu, kuanza kupiga kelele, akiwaeleza wenzake waliokuwa wameketi jirani, kwamba injini imezima.
Baadaye abiria wengine waliingiwa hofu, huku baadhi wakisali, wakilia na wengine kuonekana wamejiinamia, huku wamefunika nyuso zao.
Baada ya abiria kuonekana 'wakipaniki' ndipo rubani wa ndege hiyo alitangaza kuwepo kwa hitilafu hiyo huku akieleza kwamba hali siyo ya kutisha sana.
"Abiria wetu wapenzi, ndege yetu imepata tatizo la kiufundi, injini moja imezima, lakini hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kwani, tunapanga kutua katika kiwanja jirani na hapa tulipo," alisema rubani huyo.
Hata hivyo, tulizo la mwana anga huyo halikuleta afueni ya wasiwasi kwa abiria wengi, waliendelea na hofu yao, huku wengine waliokuwa hawajatambua kinachoendelea wakiungana na wengine kusononeka.
Rubani alirejea tena kwa tangazo; "Abiria wetu wapendwa, tunasikitika kwa kilichotokea, nawaomba kuwa watulivu wakati sasa tunajiandaa kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Tutatua ndani ya dakika 20."
Baada ya muda huo, ndege hiyo ilitua salama katika uwanja huo na abiria walishangilia. Wengine walipiga kofi, wengine wakipiga kelele za shangwe na wengine wakimshukuru Mungu.
Mmoja wa abiria aliyekuwamo ndani ya ndege hiyo, Simon Mkina, aliandika katika ukurasa wake wa Twitter na taarifa hiyo kusambaa dunia nzima, huku akipongezwa kwa kutoa taarifa hiyo mapema.
Haki nimecheka CCM imewaharibu sana akili zenu nyie chawa.Ikatua nyumbani kwao kwa dharura!
Tatizo siyo tu kuzima bali ni nini kimefanya ikazima na ni nini kitafuata. Ni kweli ndege zenye injini mbili zina uwezo kabisa wa kuruka na injini moja bila tatizo lakini unapoona injini imezima inaweza kuwa matokeo ya multiple instruments failure au moto au janga jingine. Hapo ndiko kwenye shida.Relax wakuu, ndege hizi Zina engine mbili na engine moja ina uwezo wa kuifikisha ndege salama means to land safely, na hata engine zote zikizima pilot ana uwezo wa to land ndege as far as electronics ziwe zinafanya kazi(elewa kuna back up batteries zake).
Kudos kwa pilot wetu inajionyesha ni jinsi gani upo byeee,na kwa abiria na wafanyakazi wote ambao mlitulia vema ndani ya ndege, ni MUHIMU mno kusikiliza yale maagizo yanayotolewa kabla ya safari kuhusu emergency.
Wengi wetu huwa we don't pay any attention kwa kufikiria it will not happen to us! Usafiri wa ndege ndio salama kuliko wote duniani
Mara ya mwisho kupanda ndege ilikua lini ndugu au ndo story za vijiwe vya kahawa umekaririKwanini alitumia simu chombo kikiwa angani wakati huwa inakatazwa?
Hapa bila ndugu barafu kuweka neno lake hapa,sitaandika chochote kuhusiana na uhalisia wa jambo hili.Relax wakuu, ndege hizi Zina engine mbili na engine moja ina uwezo wa kuifikisha ndege salama means to land safely, na hata engine zote zikizima pilot ana uwezo wa to land ndege as far as electronics ziwe zinafanya kazi(elewa kuna back up batteries zake).
Kudos kwa pilot wetu inajionyesha ni jinsi gani upo byeee,na kwa abiria na wafanyakazi wote ambao mlitulia vema ndani ya ndege, ni MUHIMU mno kusikiliza yale maagizo yanayotolewa kabla ya safari kuhusu emergency.
Wengi wetu huwa we don't pay any attention kwa kufikiria it will not happen to us! Usafiri wa ndege ndio salama kuliko wote duniani
Tuongeze maombiBado
Vipi kama hakuna uwanja karibu? Inaweza kwenda umbali gani bila engine ?Relax wakuu, ndege hizi Zina engine mbili na engine moja ina uwezo wa kuifikisha ndege salama means to land safely, na hata engine zote zikizima pilot ana uwezo wa to land ndege as far as electronics ziwe zinafanya kazi(elewa kuna back up batteries zake).
Kuna ndege ina engine moja??Vipi kama hakuna uwanja karibu? Inaweza kwenda umbali gani bila engine ?
Na si ndege zote zina twin engines.
Viwanja vya ndege vipo vingi mno na marubani kabla ya safari wanakuwa na informations zote na huduma gani ipo kwenye viwanja hivyo, umbali gani inaweza kwenda kuna factors nyingi za kuziangalia mfano ipo umbali gani juu, weather, including upepo na pia ukubwa wa ndege, hivi Vindege vya single engine mkuu hata kwenye viwanja vya mpira inakitua tu,kumbuka yule pilot wa USA aliyetua Ile ndege kwenye mto na akaokoa watu wote (hii ndege ilipoteza engine zote)na kumbuka yule pilot wa Ile ndege ya Ethiopia airways iliyotekwa na akaiweka Ile ndege pwani ya Mauritius baada ya kuishiwa mafuta, aliokoa baadhi ya abiria ila watekaji wote walipelekwa jehanamuVipi kama hakuna uwanja karibu? Inaweza kwenda umbali gani bila engine ?
Na si ndege zote zina twin engines.
Barafu yupo hai kweli? Let's hope he is well but---Hapa bila ndugu barafu kuweka neno lake hapa,sitaandika chochote kuhusiana na uhalisia wa jambo hili.
Ni kweli mkuu injini moja ikizima huwa sio tatizo sana.Ha
Have you not heard the joke,:"Engine moja ikizimika,it is not a problem. Mradi tu zisizimike zote kwa wakati mmoja."
Nonsense.Achana na hiyo vp marubani wote wakipoteza fahamu?