Safi mkuu, kama tatizo ni engine inaungua, pilot's wana switch off Ile engine na kuanza kuangalia what's the nearest airport watue, kama ni sababu nyingine marubani watajitahidi kuiwasha Ile engine kwa kutumia check list yao ya jinsi ya kuwasha engine, that's why hata wewe kabla hujaanza safari ya gari pls check kwanza !, wangapi humu madereva huwa kabla hujaingia ndani ya gari yako kuangalia uvunguni?, I bet you no one's ila ni sheria muhimu kuangalia kwanza chini ya gari kuna niniTatizo siyo tu kuzima bali ni nini kimefanya ikazima na ni nini kitafuata. Ni kweli ndege zenye injini mbili zina uwezo kabisa wa kuruka na injini moja bila tatizo lakini unapoona injini imezima inaweza kuwa matokeo ya multiple instruments failure au moto au janga jingine. Hapo ndiko kwenye shida.