Huyu mama kwa siku kadhaa haonekani wala kusikika..
Hata Hayati Rais John P. Magufuli alianza kupotea mdogo mdogo kwa safari zisizo na kichwa wala miguu kama hivihivi anavyofanyiwa huyu mama..
Lakini ghafla tukaambiwa amelazwa yuko hoi ktk moja ya zahanati hapa DSM na baada ya siku kadhaa mbele ikawa rasmi, kuwa, hatimaye tena, he's dead!!
Huyu mama naye asifanye mchezo eti. Hizi safari za kimya kimya asije kutuletea balaa jingine hapa. Asije akawa ameenda kupata matibabu ya presha ya kushuka na kupanda..