Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Aibu tu...
Na ataipata fresh!!
Hivi huwa vinawafariji wenyewe vikauli kama hivi ee?!!!

Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, yuko fresh na kama anatoka basi kwa ajili ya mipango yake tu mingine ya kimaendeleo kwa nchi yake na raia wake na wala siyo hivi vikelele vya kisungo vya hawa nyumbu a.k.a majuha......she's too busy to waste her valuable time kwa nyumbu ndo maana anatulia tu, anawachora tu.
 
Dubai Mambo Ni Moto, Mambo Ni Fire Fire
Acha Tuone Atakayeungua Atasema Tu
IMG-20230802-WA0044.jpg
 
Huyu mama kwa siku kadhaa haonekani wala kusikika..

Hata Hayati Rais John P. Magufuli alianza kupotea mdogo mdogo kwa safari zisizo na kichwa wala miguu kama hivihivi anavyofanyiwa huyu mama..

Lakini ghafla tukaambiwa amelazwa yuko hoi ktk moja ya zahanati hapa DSM na baada ya siku kadhaa mbele ikawa rasmi, kuwa, hatimaye tena, he's dead!!

Huyu mama naye asifanye mchezo eti. Hizi safari za kimya kimya asije kutuletea balaa jingine hapa. Asije akawa ameenda kupata matibabu ya presha ya kushuka na kupanda..
Ananegotiate mkataba. Period
 
What a digital footprint means?


A digital footprint – sometimes called a digital shadow or an electronic footprint – refers to the trail of data you leave when using the internet. It includes websites you visit, emails you send, and information you submit online. A digital footprint can be used to track a person's online activities and devices.
Kikubwa tulielewa wewe kama ulimezeshwa mazaga uyatumie vile vile utajiju. Elimu za kukaririshwa. Hubadilishi hata kwa kujiongeza
 
Wooooooooooooooooooooooooote tusaidiane kuinusuru Tanganyika, nasema woooooooooooooooote wa Tanganyika.
Achana na maslahi binafsi, tuiokoe tanganyika.
Walimu
madaktari
manesi
Wazee
vijana
vikongwe
wanafunzi
wanajeshi
magereza
FFU
Wanasiasa( ukiacha akina Mkumbo and Co. Ltd), Zito na kundi lake ACT

Mwisho na vichaa
Wooooooooooooooooooooooooote tusaidiane kuinusuru Tanganyika, nasema woooooooooooooooote wa Tanganyika.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachekesha kweli hawa!!!!! Wanazidi kujidhalilisha.......kumbe mama mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, ni lidude likuubwa mno kwao.
Acha kumjaza maujinga
Pangu Pakavu tia Mchuzi
Amani yake ni Bora Kwa Sasa kuliko huo Uraisi wenu
Muda wake wa kulitumikia Taifa ulishapita wakati ule wa Ngos
Lini ata enjoy na wajukuu?
 
Back
Top Bottom