Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Huyu mama kwa siku kadhaa haonekani wala kusikika..

Hata Hayati Rais John P. Magufuli alianza kupotea mdogo mdogo kwa safari zisizo na kichwa wala miguu kama hivihivi anavyofanyiwa huyu mama..

Lakini ghafla tukaambiwa amelazwa yuko hoi ktk moja ya zahanati hapa DSM na baada ya siku kadhaa mbele ikawa rasmi, kuwa, hatimaye tena, he's dead!!

Huyu mama naye asifanye mchezo eti. Hizi safari za kimya kimya asije kutuletea balaa jingine hapa. Asije akawa ameenda kupata matibabu ya presha ya kushuka na kupanda..
Alete tu Hilo balaa tunalisubiri.
 
Dr. Mpango anaongea kwa kujiamini sana siku mbili tatu hizi kama mtu anayetegemea kuokota dodo chini ya muarobaini
 
Digital footprint
What a digital footprint means?

A digital footprint – sometimes called a digital shadow or an electronic footprint – refers to the trail of data you leave when using the internet. It includes websites you visit, emails you send, and information you submit online. A digital footprint can be used to track a person's online activities and devices.
 
Wooooooooooooooooooooooooote tusaidiane kuinusuru Tanganyika, nasema woooooooooooooooote wa Tanganyika.
Achana na maslahi binafsi, tuiokoe tanganyika.
Walimu
madaktari
manesi
Wazee
vijana
vikongwe
wanafunzi
wanajeshi
magereza
FFU
Wanasiasa( ukiacha akina Mkumbo and Co. Ltd), Zito na kundi lake ACT

Mwisho na vichaa msaidie pamoja na ukichaa chenu
 
Back
Top Bottom